naona wenye akili mnazidi kujinyea mnaona ushahidi unamfunga malaika wenu asiyetenda zambi uwiiiiiii
Ila ccm Ina vijana wa hovyo sana Kama ndio mnatumwa kuja huku mtandaoni jengeni hoja sio kupayuka payuka tu Kama wehu kumbukeni hata gadafi aliamini Libya ni yake hakuna Kama yeye lakini kilicho Baki ni story bado nyie so mnatuona watnzania mazuzu time will tell
 
Lakini hukohukomkwa gadafi baada ya kummuua nini kinaendelea sasahivi? nyi akili zenu kama mtu anayekunya halafu anakula tena mavi ili akanye tena mfano wa gadafi umeona nimmfano mzuri wa kuleta hapa wakati wa libya sasahivi wanamkumbuka gadafi
 
ukisikiliza maelezo kwenye hiyo kesi inasemwa walikuwa wakiendelea kukusanya ushahidi dhidi yake na walipokamilisha ndipi walipomkamata..
Ndio yale Rais Samia alisema na dunia kupitia BBC kwamba wenzie Mbowe walikuwa wameshafungwa na kwamba Mbowe alikuwa ametoroka nchini kwenda nchini Mwanza? Ooooooo TZ nchi yangu imekosa nn mwaka hadi mwaka na utawala hadi utawala na viongozi wa kiume kwa wa kike......inasikitisha sana Mola jalia
 
Ila ccm Ina vijana wa hovyo sana Kama ndio mnatumwa kuja huku mtandaoni jengeni hoja sio kupayuka payuka tu Kama wehu kumbukeni hata gadafi aliamini Libya ni yake hakuna Kama yeye lakini kilicho Baki ni story bado nyie so mnatuona watnzania mazuzu time will tell
Unaielewa Libya (ya sasa) bila Gadaffi ilivyo?
 
Ndio yale Rais Samia alisema na dunia kupitia BBC kwamba wenzie Mbowe walikuwa wameshafungwa na kwamba Mbowe alikuwa ametoroka nchini kwenda nchini Mwanza? Ooooooo TZ nchi yangu imekosa nn mwaka hadi mwaka na utawala hadi utawala na viongozi wa kiume kwa wa kike......inasikitisha sana Mola jalia
hii kesi mtanena kwaluga zote mbowe anafungwa wameshamkaanga wenzie walilishwa maneno yakuja kusema uongo wamewaumbua
 
Mawakili wa utetezi wanauliza maswali mepesi sana, sijui lakini, kama inawasaidia kisheria haina shida.

Kama kweli yanayosemwa ni kweli, let Mbowe face justice. Ila kama yote haya ni ya kutunga kwa kweli Mungu atawalipa.

All in all, kesi haitabiriki hii, hasa ukizingatia siasa nyingi.
 
Laiti hii kesi angepangiwa jaji wa zamani ambae hajapata promotion ya kwenda court of appeal na hana cha kupoteza angetenda haki........
ama kwa lugha nyingine haki ingeonekana kutendeka.......
lkn hawa majaji wa juzi vijana mmmmm!! sidhani yetu macho
 
Hapo vip!!

Baada ya mama yetu kuhojia na bbc kuhusiana na kukamatwa kwa mbowe..mama alisema amekamatwa kwa tuhuma za ugaidi,ila wanzania kabla ya kusubiri hizi tuhuma wakanza kutoa maneno ya kejeli na kadhali kwa mama yetu na Rais wetu mpendwa.

Leo hii pazia limeanza kufunuliwa taratibu..na nawaona watu wakifunika nyuso zao..nawengina wakijificha kichakani...bado pazia linaendelea kufunuliwa.

Kwa maelezo ya mtuhimiwa wa kwanza kwa mimi naona haina haja ya mahakama kupoteza muda wake...waende straight tu kwa sababu hayo maelezo yanajitosheleza...ni maoni yangu tu.

Ushahidi ulioandaaliwa na mpeleleze mbobezi, kwa upelelezi alioufanya,kweli naamini nchi hii sio ya mchezo mchezo..kabla haujaj#mba wataalam washaujua utaj#mba saa ngap.

Ni hatari
 
Yaani yeye Mbowe pekee yake na walinzi wake tu wapange kufanya vitendo vya ugaidi maeneo mbali mbali nchini bila viongozi waandamizi wa CHADEMA kujua? Yaani asijue Katibu mkuu, wasijue Manaibu makatibu wakuu,wasijue viongozi wa BAWACHA,BAZECHA wala BAVICHA?

Achilia mbali la kumdhuru Sabaya ambaye mtasema alikua anaingilia maslahi yake Hai, Sasa mambo ya kuchoma vituo vya mafuta Arusha,Mbeya na Iringa yanamhusu nini Mbowe pekee yake?

Kuna mambo mengine ni vichekesho sana hata mtoto wa kindergarten hawezi kukuelewa. Yanatia aibu aibuu hadi hata majaji wanaona ni kama tunapoteza muda fo unknown.

Hebu tuachane na hizi mambo tunaliaibisha taifa.
 
lakini hukohukomkwa gadafi baada ya kummuua nini kinaendelea sasahivi? nyi akili zenu kama mtu anayekunya halafu anakula tena mavi ili akanye tena mfano wa gadafi umeona nimmfano mzuri wa kuleta hapa wakati wa libya sasahivi wanamkumbuka gadafi
Ni Bora Mara Mia kila mtu akala anavyo jua yeye kuliko mnajifanya amani huku wachache wakineemeka wengi wanaumia pumbavu kabisa
 
Inasikitisha Sana yanayosemekana maelezo ya mtuhumiwa no.moja. Uongo mwepesi usio na mashiko, Watanzania sio wajinga kiasi hicho, oneni aibu futeni haraka huu ujinga, mnaibisha taifa na kuharibu umoja wa taifa letu. Ushahidi wa ugaidi so wa kitoto namna hiyo.
SHAIDI_RAMADHANI_KINGAI_AKISOMA_USHAIDI_WA_ADAMOO%0A%0ASEHEMU_YA_3%0A%0ASIKU_ya_Tarehe_01_Augu...jpg
 
Back
Top Bottom