Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,517
- 25,798
Utaandika kwa lugha zote lakini haitasaidia.Annaki mraatun ajuuzun
Utaandika kwa lugha zote lakini haitasaidia.Annaki mraatun ajuuzun
Ila ccm Ina vijana wa hovyo sana Kama ndio mnatumwa kuja huku mtandaoni jengeni hoja sio kupayuka payuka tu Kama wehu kumbukeni hata gadafi aliamini Libya ni yake hakuna Kama yeye lakini kilicho Baki ni story bado nyie so mnatuona watnzania mazuzu time will tellnaona wenye akili mnazidi kujinyea mnaona ushahidi unamfunga malaika wenu asiyetenda zambi uwiiiiiii
UGAIDIkwa kosa gani?
Lakini hukohukomkwa gadafi baada ya kummuua nini kinaendelea sasahivi? nyi akili zenu kama mtu anayekunya halafu anakula tena mavi ili akanye tena mfano wa gadafi umeona nimmfano mzuri wa kuleta hapa wakati wa libya sasahivi wanamkumbuka gadafiIla ccm Ina vijana wa hovyo sana Kama ndio mnatumwa kuja huku mtandaoni jengeni hoja sio kupayuka payuka tu Kama wehu kumbukeni hata gadafi aliamini Libya ni yake hakuna Kama yeye lakini kilicho Baki ni story bado nyie so mnatuona watnzania mazuzu time will tell
Ndio yale Rais Samia alisema na dunia kupitia BBC kwamba wenzie Mbowe walikuwa wameshafungwa na kwamba Mbowe alikuwa ametoroka nchini kwenda nchini Mwanza? Ooooooo TZ nchi yangu imekosa nn mwaka hadi mwaka na utawala hadi utawala na viongozi wa kiume kwa wa kike......inasikitisha sana Mola jaliaukisikiliza maelezo kwenye hiyo kesi inasemwa walikuwa wakiendelea kukusanya ushahidi dhidi yake na walipokamilisha ndipi walipomkamata..
Unaielewa Libya (ya sasa) bila Gadaffi ilivyo?Ila ccm Ina vijana wa hovyo sana Kama ndio mnatumwa kuja huku mtandaoni jengeni hoja sio kupayuka payuka tu Kama wehu kumbukeni hata gadafi aliamini Libya ni yake hakuna Kama yeye lakini kilicho Baki ni story bado nyie so mnatuona watnzania mazuzu time will tell
hii kesi mtanena kwaluga zote mbowe anafungwa wameshamkaanga wenzie walilishwa maneno yakuja kusema uongo wamewaumbuaNdio yale Rais Samia alisema na dunia kupitia BBC kwamba wenzie Mbowe walikuwa wameshafungwa na kwamba Mbowe alikuwa ametoroka nchini kwenda nchini Mwanza? Ooooooo TZ nchi yangu imekosa nn mwaka hadi mwaka na utawala hadi utawala na viongozi wa kiume kwa wa kike......inasikitisha sana Mola jalia
AMEN,AMENShadraki, Meshaki na abednego waliokolewa kwenye tanuri la moto, kwenye hili nalo MUNGU atalisimamia
Haya maombi yatakurudia wewe binafsiMbowe anyongwe mpaka kufa
Usikute wewe uko hapo chaka lako unakula bangi unamwita mbowe muhuniMbowe ni muhuni sana.
Nchi ngumu sana hiiiYaani yeye Mbowe pekee yake na walinzi wake tu wapange kufanya vitendo vya ugaidi maeneo mbali mbali nchini bila viongozi waandamizi wa CHADEMA kujua?...
Ni Bora Mara Mia kila mtu akala anavyo jua yeye kuliko mnajifanya amani huku wachache wakineemeka wengi wanaumia pumbavu kabisalakini hukohukomkwa gadafi baada ya kummuua nini kinaendelea sasahivi? nyi akili zenu kama mtu anayekunya halafu anakula tena mavi ili akanye tena mfano wa gadafi umeona nimmfano mzuri wa kuleta hapa wakati wa libya sasahivi wanamkumbuka gadafi
Usife moyo bado sijaona ushahidi unao mcconect Mbowe na kosa la ugaidi so far hayo maelezo ni ya upande mmoja......Eti walimkuwa na kikalatasi kilichochorwa vituo vya mafuta... ha ha ha afu pia tukamkuta na madawa ya kulevya aina na heroine.
Inasikitisha Sana yanayosemekana maelezo ya mtuhumiwa no.moja. Uongo mwepesi usio na mashiko, Watanzania sio wajinga kiasi hicho, oneni aibu futeni haraka huu ujinga, mnaibisha taifa na kuharibu umoja wa taifa letu. Ushahidi wa ugaidi so wa kitoto namna hiyo.