nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,386
- 2,151
Mkuu ilinde hiyo kura yako isije chakachuliwa.
Hakika hiyo kura inauzito wa nyangumi hachakachuwi mtu hapa! Ushindi mweupeeeeee!!
Mkuu ilinde hiyo kura yako isije chakachuliwa.
Haiwezekani kisiendelee kitu, acha uzushiWana JF
Habari zenyu bwana . Nipeni habari za mtaani kwenyu huko je ni mbaya kama hapa Kinyerezi ? Kata ya Kinyerezi eti imepokea karatasi na makabrasha ya kura za Kata ya Gerezani .Na Gerezani nadhani watakuwa wamepokea za Kinyerezi au Kata gani ila kwa kifupi kuna tatizo kubwa hadi muda huu niko kituoni hakuna kinacho endelea .
Hebu sema mtaani kwako kama wewe umesha wapa UKAWA kura tafadhali .
Jipeni moyo hapa jf wakati huku mtaani CCM inachukua mitaaa kilaini sana,,njooni na sababu mpya hizi za kura kuibiwa imechuja,,hii ni salamu kwa 2015 na hivi mmejikusanya pamoja kama panya
Jina langu halipo, nimeshindwa kupiga kura.
Hiki ni kituo cha kupigia kura kilichopo Majengo A kata ya Majengo Sumbawanga.Kilifunguliwa saa mbili lakini mpaka sasa saa tano vifaa havijafika
Jipeni moyo hapa jf wakati huku mtaani CCM inachukua mitaaa kilaini sana,,njooni na sababu mpya hizi za kura kuibiwa imechuja,,hii ni salamu kwa 2015 na hivi mmejikusanya pamoja kama panya
Kutoka Songea Mjini, anatuambia kuwa kata ya Misufini hadi sasa kura hazijaanza kupigwa kwa sababu fomu za kupiga kura nafasi ya uenyekiti wa mtaa zimechanganywa, kwani kwenye nembo ya CCM jina lililoandikwa ni la mgombea wa CHADEMA kama inavyoonyesha kwenye picha