master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
Kujaa sio kigezo hata kenye promotion za kondon na pombe watu wanajaa,hata Mrema watu walikuwa wanajaa sana.
Mkuu endeleeni kujipa matumaini.
Kujaa sio kigezo hata kenye promotion za kondon na pombe watu wanajaa,hata Mrema watu walikuwa wanajaa sana.
inabidi nikuserukambe we kidogo, au unasemaje??
Unabisha nn wakati watu wana akili zao wana macho na wana maskio...kwenye uchaguzi mkuu2010 slaa alipandikiza udini rasmi na hajaacha.Anayesingizia Chadema ni chama cha kidini na kikabila huku akijua ni Uongo tumuite jina gani zaidi ya Lucifer Ibilisi mkuu?
Wao na Ibilisi wao Chadema na Mungu wake.
Kipimo sio wingi wa watu bali ni kwenye sanduku la kura, hii kule kwetubinaitwa chenga twawala lakini goli watufunga
Makamanda leo wako Iringa wakimwaga Sumu.
Siyo SUMU please WANAELIMISHA UMMA yapasayo kutenda
ni kweli kwenye sanduku la kura, ccm ukizubai kidogo wanachakachua!Kipimo sio wingi wa watu bali ni kwenye sanduku la kura, hii kule kwetubinaitwa chenga twawala lakini goli watufunga
Unabisha nn wakati watu wana akili zao wana macho na wana maskio...kwenye uchaguzi mkuu2010 slaa alipandikiza udini rasmi na hajaacha.
Dkt. Slaa yuko jukwaani right now. Anasema wabunge wake hawatatafuna maneno inapofika suala kuiwajibisha na kuiagiza serikali kwa ajili ya maslahi ya Watanzania.
Serikalii hii ni impotent kuanzia yule wa juu hadi walioko chini. Ameagiza; wabunge wa CHADEMA wakaze mwendo kuwa more focused na wakali zaidi kuliko sasa, kama kiti kinaendelea na tabia ya kuminya haki.
Dkt. Slaa yuko jukwaani right now. Anasema wabunge wake hawatatafuna maneno inapofika suala kuiwajibisha na kuiagiza serikali kwa ajili ya maslahi ya Watanzania.
Serikalii hii ni impotent kuanzia yule wa juu hadi walioko chini. Ameagiza; wabunge wa CHADEMA wakaze mwendo kuwa more focused na wakali zaidi kuliko sasa, kama kiti kinaendelea na tabia ya kuminya haki. Ameagiza kuanzia sasa hotuba zote za Kambi ya Upinzani Bungeni zitolewe nakala na kugawiwa hadi ngazi ya kata ya chama, kupeleka taarifa na maarifa kwa wananchi, Watanzania kila mahali nchi nzima.
Wananchi hapa wanafurahia kweli kweli kila Dkt.Slaa anapoeleza na kufafanua namna serikaliilivyo impotent...kwa mifano hai ya local politics hadi national politics.
Mkuu yanayoengelewa mbona hayana msaada kwetu sisi wananchi hizo ni porojo kama wanazofanya bungeni
sugu ndio ana drs la 7 la kata teh teh teh
Mrema alikuwa anajaza zaidi ya hapa.Kujaa sio kigezo hata kenye promotion za kondon na pombe watu wanajaa,hata Mrema watu walikuwa wanajaa sana.