KIMBWANGAI
Member
- Mar 7, 2012
- 75
- 22
watanzania ni waelewa sasa,wanajua haki zao,wajibu na stahiki zao,masuala ya propaganda za CCM wameyachoka,xafi xana makamanda wa CHADEMA.RESPECT TO YOU!!!!!
Msafara umeshashuka uwanjani
Duh! Mmejaza utadhani mlikuwa na Ma-Diamond 10! Kwa hizi picha tu zinanitosha kwenda zangu Sinza kwa Mama Lucy kupata ki-nibu changu na vijipande vya Kifaranga.
Mnyika anasema fedha za DECI zirudishwe. Wabunge wanazuiwa kujadili suala la Deci eti liko mahakamani, mbona Magufuli aliamua kuongelea suala la samaki wake kwani aliwagawa hao samaki wakati kesi ikiendelea.
Mkuu.
Kutokana na yale maelezo ya Dr, nimegundua Chriss anasumbulia pia na ugonjwa unaoitwa Taurophobia
Rais Wa Wananchi MASKINI Tanzania.
Mnyika anatuma salamu kwa Kamhanda kuwa alisababisha mauaji ya Mwangosi. Anasema kitendo hiki hakivumiliki na hawataliacha suala hili bila ha2a kuchukuliwa
Mnyika anasema fedha za DECI zirudishwe. Wabunge wanazuiwa kujadili suala la Deci eti liko mahakamani, mbona Magufuli aliamua kuongelea suala la samaki wake kwani aliwagawa hao samaki wakati kesi ikiendelea.
Mnyika anatuma salamu kwa Kamhanda kuwa alisababisha mauaji ya Mwangosi. Anasema kitendo hiki hakivumiliki na hawataliacha suala hili bila ha2a kuchukuliwa
Iringa ni Kaskazini no wonder