Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

hiyo ni lugha ya mjini. Wewe kama wa kijijini hutaelewa. ni sawa na kusema leo chadema WAMEKINUKISHA MBAYA au kusema CCM WAMESANDA. Hiyo sumu wanayo tema ni yakuwaangamiza ccm. mia

FIGGA naisoma sana hiyo lugha ila masagamba/maccm/mashetani/mangoromiko yasiachiwe upenyo wa kuwarudia wananchi na kuwaambia tumewalisha sumu.
Sisi tunawaelimisha na kuwapa ujasiri wa kudai kilicho haki yao.
 
hizi tambo mwisho wake waja mnamtamani tena na jk awe cdm mbona wanasiasa siwaelewi.
 
kuna mada ilikuwa humu juzi eti Msigwa kakalia kuti kavu naomba yule jamaa ajitokeze akompee maneno yake na hizi picha za mkutano
 
Wamekazania kuongelea katiba mpya mbona siyo kazi yao ni kazi ya tume ya mabadiliko ya katiba hawa jamaa wanamatatizo walishindwa bungeni wataweza uwanjani.
hivi chama gani kwenye ilani yake kilizungumzia masuala ya katiba mpya??
 
Mkuu kumbe unamatusi ongeza lingine naona umejaa upepo pole kwa kutumika na wanasiasa uchwala utapasuka kuwa makini make jf wanafunguka tu.

ni heri kuitumikia CHADEMA katika kuikomboa Tanzania kuliko kutumika vibaya kuigawa nchi yangu kwa misingi mibovu ya MaccM
 
Wakuu tukumbuke si wote wanaosema bwanabwana watauona ufalme wa mbinguni hitima ya haya itakuwa arusha au kilmanjaro ndipo mahala watu watapoomboleza.
 
ni heri kuitumikia CHADEMA katika kuikomboa Tanzania kuliko kutumika vibaya kuigawa nchi yangu kwa misingi mibovu ya MaccM
Najua kuwa ulishaanza kutumika kitambo na utaendelea kutumika kwani umekula unga wa ndele
 
Pro ccm na mawakala zake wanatapatapa, ccm imtose makinda, ndugai na mwigulu kama inataka kubaki salama, vinginevyo ccm itasombwa na maji ama upepo!
 
Mkuu niko hapa nafuatilia,
Unapopambana unatakiwa ujue mbinu za adui wako.
Wao kwa sasa wanapambana na kivuli hawajui nina mipango gani ndio maana wamefurika wote huko



nini mbinu.... CDM kuna mitego bana....
Mipango utakuwa nayo wewe??
 
Hivi Mnyika nae alitimuliwa Bungeni?
Alafu dogo ajiangalie alianza vizuri lakini na yeye sasa kawa KIROPOROPO


Kwani imeandikwa wapi watakao hudhuria mkatano wa Mwembetogwa -Iringa ni wale walio timuliwa Bungeni Pekee? Kwani Dr. Slaa naye katimuliwa bungeni ? Vipi Kamanda Lissu naye alikuwepo? Possibly macho yako yana matege, Otherwise na wewe ni miongoni mwa Misukule mnaoishi hapa mjini kwa kutegemea posho za Lumumba.
 
hivi chama gani kwenye ilani yake kilizungumzia masuala ya katiba mpya??
Kamilisha swali lako acha kuishia njiani unagopa nini uliza lote au katiba ya chama chako huijui,nasikia na mnyika yupo hivi na yeye alifukuzwa make huu ni mkutano wa wafungwa
 
hizi ndio lugha zenu mlizofundishwa na wenje na sugu[/QUOTE
Kuhusu utaratibu mheshimiwa moderator.
Nataka kumkumbusha huyu bwabma bungeni kwamba kanuni za ukumbi zinamuhitaji kusema kweli daima.

Anasema watu wanataka kum- Serukamba. Kuna ushahidi wa wazi unaoonyesha kwamba tayari siku mingi sana wamesha m- Serukamba.
 
Back
Top Bottom