Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

431910_505632736150711_2099828778_n.jpg

safi Makamanda.
 
DR Slaa sio rais wa maskini bhana. Umeshasahau anavyokamua ruzuku ya chama kama opportunity cost ya kukosa ubunge?

Ha ha ha! Dont panic please.

vp Bocho Leo Umepewa posho,nakuona Mnyonge.cdm baba enu
 
Magamba tumbo joto

leo wamebanwa kama mijusi, na nepi na madelu mchemba wamekataa kutoa posho ya buku saba, so vijana kama wakufyozwa na mpuuzi mwenzire mwapamba wamepotelea kusikojulikana leo... lumumba hapatoshi muda huuu..
 
WATANZANIA TUMESHAAMUA KWAMBA CCM NJE 2015, UJANJA WA KUTUMIA KOMPYUTA WALIOAZIMA KUTOKA GHANA KAMWE HAUTOTUZUIA KITU

[h=2][/h]
431910_505632736150711_2099828778_n.jpg


CCm2010.jpg





 
polesana bocho mmeshamaliza mgogoro wenu na nape.............leo mtajibeba amewapa buku saba ya kula usiku???? Poleni sana

tukichukua nchi 2015 nyinyi mnaosababisha watz wazidi kuwa maskini tutawapiga risasi hadharani ili liwe fundisho kwa wengine kama wewe na maruhani yenu ya ndimi saba..


Usimjaribu mungu, akiamua kutenda anatenda tu... Naskia hapo iringa, ni kata ya mkoa wa kilimanjaro, umemuona john komba hapo, umemuona mzee wa ndomo (diamond), umemuona lina hapo, au umeona malori hapo na kofia.., take care, mabadiliko huwezi kuyazuia kwa buku sanba yako mkuuu.... Peolpleeeeeeeeeee

Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. —Isaya 42:8
 
Leo mtajampa mapovu maana buku 7 nepi kaondoka nazo....mlidhani Allah atatuacha mtuuwe na monsanto wenu...

Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. —Isaya 42:8
 
Ha! Ha! Ha! Ha! hivi hiyo ndiyo Iringa ya Lukosi ,au ni Arusha kwa Lema ?
 
Msitake mwigulu na Nape wanywe sumu,REAL naipenda chadema toka Moyoni.
 
images



Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI nyie CDM mnafanya kampeni sasa?
 
Chadema wana Mungu wao wana Ibilisi.

Acha kumfanya ibilisi kuwa ndio mungu Molemo

1 Wafalme 8:60
Watu wote wa ulimwengu Wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.

Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. —Isaya 42:8
 
Kweli ccm hauziki. Chaki nyomi la watu na hapo hakuna cha kina diamondo, sijui wale wabana pua wengine, wala mafuso kubeba watu.
 
Chadema ni wachaga,iringa pia ni wachaga..poor Magamba,miaka 51 Tz umasikini wa kutisha,maisha bora ipo kwa familia za wakubwa.
 
jamani me naomb anayeweza kuniwekea watu wanaofuatilia h post na guest plz,lazma utawakuta magamb kibao naomben makamanda mfanye hvyo
 
Back
Top Bottom