Wenzako tunashabikia tanzania wewe unashabikia wanasiasa polekuishabikia ccm yahitaji Akili ya maiti.
naamini siku zote mkamia maji hayanywi ndicho kitakachotokea wakati ukifika watanzania wanajua mbichi na mbivu.
Akili ya kwaida tu kuelewa hapo usitumie akili nyingi sana tulia tafakali simple.Sijakuelewa..
Hahahaaaaaaa kakalia desktop la lumumba katisha kujamba maweeeeeee kaharisha hahahaaaaaa kaharisha rangi ya chama..chezea chadema weweNaona yule mwenye magonjwa ya akili yupo...Ila kakaa kimya utafikiri kajiharishia...
unataka kutafuniwa kila kitu? Pia tuthibitishie kwamba huu ni mkutano wa wafungwa na si chadema!Kamilisha swali lako acha kuishia njiani unagopa nini uliza lote au katiba ya chama chako huijui,nasikia na mnyika yupo hivi na yeye alifukuzwa make huu ni mkutano wa wafungwa
Anayesingizia Chadema ni chama cha kidini na kikabila huku akijua ni Uongo tumuite jina gani zaidi ya Lucifer Ibilisi mkuu?
Wao na Ibilisi wao Chadema na Mungu wake.
Asanteni sana wakuu nimefuatilia post zote leo nimeinjoy sana VIVA CHADEMA
Sijakuelewa..
Kwani anayesema CHADEMA kina dini si wewe? TZ is a secular state, sasa chama kinawezaje kuwa na mungu ilhali wafuasi wa chama hicho wanatoka kwenye itikadi nyingine zisizoamini uwepo wake?
Huu ni mkusanyiko wa Arusha si Iringa!hakuna Wahehe mabwege kwenda kusikiliza chama cha kigaidi na wakabila kama Chadema...jaman Wahehe hao ni kampuni wa Wachaga na watu wa Kaskazini!hapo kuna Kiwia,Mnyika na Slaa!wote Ka'zin
mkuu wewe ndo huamini mungu? Chama ni watu! Ina maana ccm inaamini mashetani?Kwani anayesema CHADEMA kina dini si wewe? TZ is a secular state, sasa chama kinawezaje kuwa na mungu ilhali wafuasi wa chama hicho wanatoka kwenye itikadi nyingine zisizoamini uwepo wake?