Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,081
humu kina m23,bungeni wamekutelekeza mwenyewe.
Naona yule mwenye magonjwa ya akili yupo...Ila kakaa kimya utafikiri kajiharishia...
humu kina m23,bungeni wamekutelekeza mwenyewe.
CHADEMA ni kisima cha busara. CCM ni kiwanda cha ujinga na matusi.
Chama cha msimu kinawatesa magamba.
Mungu ibariki chadema,
Mungu ibariki Tanganyika,
ibariki Zanzibar,
Mungu ibariki Tanzania.
wazuie kwa sababu gani? Kila chama kina uhuru wa kufanya mikutano kipendavyo!
inabidi nikuserukambe we kidogo, au unasemaje??Na uwenje na umsigwa na usugu.
ukiaema hivyo unajidanganya mwenyewe, kwenyemkutano wachadema hatamuziki hakuna, hakuna entertainment na huko kwingine entertainment ni za lazimaKujaa sio kigezo hata kenye promotion za kondon na pombe watu wanajaa,hata Mrema watu walikuwa wanajaa sana.
Molemo sasa huelewi nini? Kwani aliyewaumba wao ni nani zaidi ya mungu yule yule mmoja?
1 Wafalme 8:60
Watu wote wa ulimwengu Wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.