Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Acha kumfanya ibilisi kuwa ndio mungu Molemo

1 Wafalme 8:60
Watu wote wa ulimwengu Wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.

Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. —Isaya 42:8

Kwani wao ndiyo wewe??? Anayesingizia wengine ugaidi wakati siyo kweli tumpe jina gani zaidi ya Lucifer Ibilisi mkuu??

Chadema wana Mungu wao wana Ibilisi.
 
Mnyika anamalizia kwa kuzungumzia ahadi ya maisha bora vs maisha magumu. Anapitisha fomu kwa Watanzania wote walioko hapa kusaini kama wanaguswa na tatizo kubwa la maisha magumu. Anafuata Wenje.

Viongozi wa hiki chama ni Watakatifu..
 
Mkuu MTOI nisaidie hapo kwenye mkutano wapo wasanii gani? Naomba unijibu mkuu nipo mbali sana huku Kanyamsenga sikonge Tbr. Kama hawapo basi nitaamini msemo wa wahenga chema chajiuza na kibaya
 
Makamanda leo wako Iringa wakimwaga Sumu.

Siyo SUMU please WANAELIMISHA UMMA yapasayo kutenda
 
919271_246237052184460_497591630_o.jpg
 
Mnyika anatuma salamu kwa Kamhanda kuwa alisababisha mauaji ya Mwangosi. Anasema kitendo hiki hakivumiliki na hawataliacha suala hili bila ha2a kuchukuliwa

Tengenezeni clip za hii mikutano mumpatie Kinana na Nape ili wapime wenyewe kati ya hii mikutano ya CDM na ile dhaifu ya kuwaleta watu kwa malori na kuwagawia kanga na top up ya shs 5000. Mikutano ya ajuza na watoto(CCM)VS ya Vijana active ya CHADEMA, one can clearly forecast the outcome in 2015. Kuna vijana wengi wenye hasira wanao turn 18 years old by 2015 september watakaoongeza jeshi la kuiangusha dola ya CCM ifikapo 2015 right at the ballot box.
 
hiv sikuhizi inteligencial ya nchi hii haipo nini mbona hawazuii mikutano hii!
 
Chezea Chadema wewe hahahaaaaaaa mpaka waombe pooo.,leo hata naul hawajapewa lumumba hahahaaaaaa KABAAAANG
 
Kwani wao ndiyo wewe??? Anayesingizia wengine ugaidi wakati siyo kweli tumpe jina gani zaidi ya Lucifer Ibilisi mkuu??

Chadema wana Mungu wao wana Ibilisi.


Molemo sasa huelewi nini? Kwani aliyewaumba wao ni nani zaidi ya mungu yule yule mmoja?

1 Wafalme 8:60
Watu wote wa ulimwengu Wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.
 
Back
Top Bottom