RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
mkuu mtoi nisaidie hapo kwenye mkutano wapo wasanii gani? Naomba unijibu mkuu nipo mbali sana huku kanyamsenga sikonge tbr. Kama hawapo basi nitaamini msemo wa wahenga chema chajiuza na kibaya
sugu mwenyewe... Chadema si ccm kila kitu waige