Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,926
Saa nyingine acheni USHABIKI ULIOZIDI mkaacha kuzungumza yaliyo halisi! SIDHANI KAMA KUNA MTU AKAYEKUBALI MVUA YA MATOFALI IMNYESHEE KISA CDM WANA NINI?
Mkuu ni wewe hutakubali ila wazalendo wanajua Chadema wana nini na wanakaa kwani ni mara ya kwanza ? Kumbuka Jangwani imewahi kuanguka mvua lakini watu walibakia ama huna kumbukumbu ?