Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

James Ole Milya: nilishafanya kazi na Mulongo NEC, anawatumikia waliomtuma, msameheni.

Ole Milya: diwani asipohudhuria mikutano kwa muda fulani hufutwa kazi. Kwanini kata aliyokuwa anawakilisha Alphonce Mawazo ya Sombetini hakufanyiki uchaguzi?

Kama CCM bado wanamtambua mawazo kama diwani wao basi na arudi akaanze kazi yake ya udiwani huku akiwa anafanya kazi za CHADEMA! huu ni upuuzi.
 
Hapo namuwekw kamanda lema sawa kidogo..hakuna sababu ya kususia uchaguzi..kuhusu kata ya sombetini tutafight ila hakuna kususia uchaguzi..kumbuka ukisusa wenzio wala...so hakuna kususia lema hapo sikuungi mkono wala sikubaliani na hilo.
 
LEMA: CHADEMA hatutafanya uchaguzi wa kata nne kati ya tano ambazo hazina uwakilishi halmashauri bila kuijumlisha kata ya SOMBETINI ambako Alphonce Mawazo alijitoa CCM akiwa diwani wao na sasa yuko CHADEMA tangu April last year na TAMISEMI wanajua.
Hiyo ni sawa lakini hakuna kususa..
 
There are currently 680 users browsing this thread. (78 members and 602 guests)-LUMUMBA MPOOOO LUMUMBA TEAM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... LEO NAONA MMEJIKUNYAKATA KAMA MMEFIWA .....

TEHHHHHHHH LEO MMEKUWA MNACHUNGULIA KAMA GUEST???? HHAAAAAA, LAZIMA MMONYOOSHE MIKONO JUU MKUBALI YAISHE TU.

CDM NI SPEED 360 KWENYE KONAAAA .......SHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA


POLE ZENU

Wako wapi akina sumu, ritz, zemarcopolo, bungeni, ccm one, ect
 
Arusha ni nomaaaaaa nyomi ya kutosha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Arusha chadema ni maisha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Lema: toka mmenichagua kuwa mbunge siyo mchovu tena. Makamanda hapa wamesema kesho kutwa tuna uchaguzi wa kata nne. Mi nasema ni kata tano, na ushahidi wangu naupeleka bungeni. Uchaguzi wa sombetini ni lazima siyo ombi. Wakikataa uchaguzi wa sombetini tunakataa uchaguzi wa kata zingine, tunaweka court injuction mpaka watangaze uchaguzi wa kata ya sombetini

Kweli vile kitambi kinaonekana kabisa, ila nao hao wagombea wa udiwani mpaka vitambi vitoke sio leo
 
Mkuu wa mkoa ni mpumbavu mkubwa hajui saikoloji ya wanachuo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, umenichekesha..! Pia, nadhani anaweza kupiga marufuku pampers zisiuzwe maduka yote Arusha. Hawa viongozi wa kuteuliwa awamu hii ya 4 ni balaa.

kama kweli lema hakua na makosa, kwanini aliificha ile simu kwenye pampers za mtoto wake, ka si kuogopa kubainika ugaidi anaoupanga??
 
Kama CCM bado wanamtambua mawazo kama diwani wao basi na arudi akaanze kazi yake ya udiwani huku akiwa anafanya kazi za CHADEMA! huu ni upuuzi.

Milya nae mapovu tu , hamna lolote zaidi ya kusema pipooz ndio watu wanashangilia, zaidi ya hapo, mwoga asiyefaa, mara ooh, nili kua muscat oman, sasa hiyo muscat oman ina uhusiano gani na arusha kama so sifa za kijinga..
 
Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.
kwani CCM ndio wanaitakia mema nchi? Tembo wako wapi?, dhahabu iko wapi? hatuna maji, umeme na wizi wa fedha unafanyika na viongozi wa CCM, watoto wanafeli kwa sababu ya CCM.
jaribu kujiuliza na kutafakari kama CCM wanatutakia mema
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arushaone,

Nafuatilia taarifa kwa ukaribu.
Tuendelee kuwa pamoja.

Nakutazama kwa jicho la tatu nikiwa na nia ya kukubadili msimamo mkuu.
Pia salaam hizi zipitishe LUMUMBA kwani kuna wengine leo watakosa mshiko.
 
Back
Top Bottom