Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Ni wa kuongea na mbunge na kuimarisha chama. Itakuwa viwanja vya ngarenaro primary & secondary schools.

Makamanda Mungi, Crashwise [andaa ile magic camera] Filipo Mzee wa Rula LiverpoolFC tuwaambie wengine. SAA 9.

=========
Picha

Jeshi la Police nao halikuwa mbali kuchukua matukio ya mkutano wa Lema, camera ya chadema iliwanasa wakiwa na makamera yao...
 
Attachments

  • 936160_10201252695945752_1684208808_n.jpeg
    936160_10201252695945752_1684208808_n.jpeg
    62.4 KB · Views: 191
  • 942206_10201252697705796_1414260159_n.jpeg
    942206_10201252697705796_1414260159_n.jpeg
    49.7 KB · Views: 150
CCM watabisha sana pamoja na kubambikia watu kesi lkn tumejua katibu wenu hatakii mema tembo wetu, hembu muulizeni hakuna jinsi anaweza kuwatoa meno wakabaki hai?

Ili yaote tena na baada ya muda avune tena, angalau tuwaone tembo wetu hata kama hawana meno...........
C.C Kinana aka weka mbali na tembo
 
Chadema njoni huku kwetu lindi na mtwara sehemu za kuwabana serikali zimeshapatikana kazi kwenu sasa kutumia huu udhaifu ambao unafahamika kwa wananchi........kuna kura nyingi sana huku u ar warmly wlcm once the door is opened...
 
Nikiwa katika mkutano ulio fanyika kwenye uwanja wa shule za Ngarenaro mkutano ulikuwa unaendea kwa watu mbalimbali wakihutubia. alikuwepo Milya na madiwani mbali mbali.

Alipo panda MB Lema ndipo nilipo sikia kitu kipya ambacho nilikuwa sijui kilikuwa kawaida au ni mtindo mpya kwa polisi wetu sasa hawaamini waandishi wa habari kwa hiyo wakaama kuanzia sasa wawe wanachua habari wenyewe.

Mh Lema akaanza kwa kuwaambia polisi sasa naanza wekeni kamera zenu vizuri mara kweli nikaona kweli wakiweka kamera yao walio kuwa nayo kwenye gari lao na Mh Lema akaanza kuhutubia. hakukuwa na vurugu zozote ila ambacho nilijiuliza kuna shida gani kati ya polisi na waandishi mpaka wakaona wawe wanachukua picha wenyewe?

Nikafikiri pia labda ilikuwa ni jinsi ya kumfanya Lema apunguze makali ya maneno yake lakini mambo hayakuwa hivyo kama kawaida alitamaka yale anayo yaamini bila woga,kwa maana hiyo kamera iliyo kuwa ikichukuliwa tokea kwenye gari la polisi haikumfanya Lema awe muoga.

HAKIKA NIMEKUBALI ZAMBI MBAYA NA KUBWA KULIKO ZOTE NI WOGA.
 
Wapo watu wanalipwa hapa jF watakuja na maneno yao ya kanga....... Ila Lema ndo kizazi cha mwisho ambacho kimebakia kwa hapa africa...... Wapo wanaomuita mkorofi ila hawawezi kuongea hata robo ya kile anachokiongea lema.......Lema na level nyingine...... Wamwite jina lolote lile....ila huyu jamaa si wa kawaida....
 
Chadema matusi ni jadi yenu, asilimia 90 ya waliofika kwenye mkutano walikua wamelewa, wengine walikua wakimsikiliza mtusi mwenzao wakiwa wameshika viroba..kaazi kwelikweli..mara akapanda jamaa flani toka huko shinyanga, jamaa jirani wakaanza dakia, doh, huyu jamaa mwanga huyu, yaani anafahamamika shinyanga nzima, hakuna wa kumtisha..kumbe chadema mnaamini katika ushirikina hivyo
 
,

Kweli mkuu ukiwa unavuta bangi huwi wa kawaida lazima zikuruke kidogo
 
Chadema matusi ni jadi yenu, asilimia 90 ya waliofika kwenye mkutano walikua wamelewa, wengine walikua wakimsikiliza mtusi mwenzao wakiwa wameshika viroba..kaazi kwelikweli..mara akapanda jamaa flani toka huko shinyanga, jamaa jirani wakaanza dakia, doh, huyu jamaa mwanga huyu, yaani anafahamamika shinyanga nzima, hakuna wa kumtisha..kumbe chadema mnaamini katika ushirikina hivyo

Vp unga mjengoni???
 
Back
Top Bottom