Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Bangi mbaya sana...
Bangi zipo wapi mkuu?
Bangi mbaya sana...
Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.
...Alphonce MAWAZO atakuwa diwani wa CHADEMA kwa ticket ya CCM!
Tuko pamoja mkuu Arusha one
Nichukue nafasi hii kuwapongeza sana wadau wote mliopiga Live Coverage hapo Ngarenaro.
Big up kwa Mungi Arushaone LiverpoolFC Daudi Mchambuzi na Dallai Lamma kwa kutupasha sawia jambo hili.
Pia kwa namna ya pekee nikupe hongera mdau na kamanda wa jinsia ya KE sweetlady kwa kusherehesha vilivyo.
Ila bado na mimi naendelea kujiuliza nia na sababu ya polisi kuchukua video ya matukio haya. Could it be wanataka kuongeza addendum kwenye kesi ya msingi?
Kwakweli hii imeniacha chaka.
siku hizi bia ya ndovu inaitwa kinana
Mkuu, umenichekesha..! Pia, nadhani anaweza kupiga marufuku pampers zisiuzwe maduka yote Arusha. Hawa viongozi wa kuteuliwa awamu hii ya 4 ni balaa.