Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Tundu Lisu angekuwa hana maana yo yoyote kama angekuwa anashindana na Livingstone Lusinde kwenye matusi. Unakumbuka matusi yake kule Arumeru alipovunja rekodi yake mwenyewe ya matusi?
Hahahaha hizo zilikuwa siasa tu.
 
hauwez muda wote ukawa unabishana na mmawia halafu ctak kubishana na pesa chali
Husiwe na shaka endelea kubishana na upepo wakati nyumbani kwako vijana hawajui wataendaje msalani
 
Kuzuia mahafali kwa kigezo cha bylaw sijui ina maana gani. Ingelikuwa maandamano yasiyo ya amani labda.

Ila usisite kutupa mrejesho wa wanayojiri hapo mkuu kindagateni one.
 
Back
Top Bottom