Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
Hao unawasema wewe, ila Lowasa katajwa na viongozi wako, jipime.Mafisadi yamejaa huko CCM akina Chenge, Tibaijuka na wale wabunge wenu wenye kesi za kuomba rushwa hao malaika?
Hao unawasema wewe, ila Lowasa katajwa na viongozi wako, jipime.Mafisadi yamejaa huko CCM akina Chenge, Tibaijuka na wale wabunge wenu wenye kesi za kuomba rushwa hao malaika?
Shame, shame, shame on whoever is behind this act. Juzi wafuasi wa CCM waliandamana Mwanza and nothing happened. Kwa nini polisi wanawaonea wafuasi wa vyama vingine? Nani anawatuma? Hili si jambo zuri hata kidogo.Wakati hayo yakiendelea Dar hapa Dodoma polisi na mabomu ya washawasha wamefika katika ukumbi wa African Dreams hotel kuzuia mahafali ya Chaso mkoa wa Dodoma ambayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na Mh Sumaye! Muda huu wapo wanazungumza na Mh Mwalimu
Wakati hayo yakiendelea Dar hapa Dodoma polisi na mabomu ya washawasha wamefika katika ukumbi wa African Dreams hotel kuzuia mahafali ya Chaso mkoa wa Dodoma ambayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na Mh Sumaye! Muda huu wapo wanazungumza na Mh Mwalimu
MAFUTIKO?kweli lumumba ni vituko tupuHawawezi zuia mafutiko kwa Mkono, Lowassa Mbele kwa Mbele
Bado wamezingira kwa gwajimavipi leo polisi hawajazingira jengo?
Hao unawasema wewe, ila Lowasa katajwa na viongozi wako, jipime.
Wanadai eti kuna bylaw mpya inayotaka mahafali yawe na kibali kuna mvutano mkubwa sana hapa baina ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salum Mwalimu na viongozi wa polisi!Hatuwezi kuendelea kuvumioia kuona demokrasia ikikagandamizwa sana polisi huu uonevu sasa basi mnawapiga mabomu wanafunzi wamewakosea nini. ?
Picha hizi lazima zitawaacha watu na ugonjwa wa shinikizo la moyo
Hawana akili, hata matokeo bado wanaleta ujinga wa mahafali Wakati wengi wamedisco! Tupa kureee!Hatuwezi kuendelea kuvumilia kuona demokrasia ikikagandamizwa sana polisi huu uonevu sasa basi mnawapiga mabomu wanafunzi wamewakosea nini. ?
Naona umekatika kama matangazo ya tbc, mb za kukopa kwisha!yaaaan chadema wakishika nchi hatari sana kwa aman wanalazimisha wanachotaka wao
.wote tuamini ni nyeupe wakati ni nyeusi
Kamuulize yeye atakujibuHuyu anayehutubia ndiye nani??????
Nani amepanic, huu mchezo hautaki hasira, Ng'ombe anafugwa,analishwa, anapewa pa kulala akidhani mmiliki ni ndugu yake, ila siku wakianza kuchinjwa, mpaka wanaisha lakini hayahami nyumbani, ndio nyie wala sijapanic mnadhani fisadi ana uchungu kweli na nyie mapoyoyo! Mmepotea.
Tuwekee matokeo ya mzee wa tff ni tanzania football associationHawana akili, hata matokeo bado wanaleta ujinga wa mahafali Wakati wengi wamedisco! Tupa kureee!
Sisi ndio wadau wenyewe pesa inatafutwa na tuna wekeza kwa vijana wetu wanao jitambuaHao vijana wa CHASO wametoa wapi fedha za kukodi ukumbi wa Karimjee?
Weka ya hao CHASO kwanza.Tuwekee matokeo ya mzee wa tff ni tanzania football association
Tundu Lisu angekuwa hana maana yo yoyote kama angekuwa anashindana na Livingstone Lusinde kwenye matusi. Unakumbuka matusi yake kule Arumeru alipovunja rekodi yake mwenyewe ya matusi?Lusinde ni kichwa. Tatizo nyie mnachanganya kufaulu darasani na uwezo wa kujenga hoja. Tundu Lisu hamfikii kabisa hata kidogo Lusinde. Lusinde ni kichwa, kinajua kupangilia hoja.