Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Leo watanzania watafurahi kumuona rais wa mioyo yao akiwahutubia kwenye Tv..
 
Leo wapiga push up wanahali mbaya hapa mjini..Kusikia raisi wa mioyo yupo kwenye mahafali ya CHASO.
 
Hapa ndipo ninapowapenda chadema ukikaba huku wanaibuka huku,mzee lowasa nafasi umepata waelezee hao jamaa ufisadi wao wote!
 
Intelejensia ya Jeshi inasemaje?! Maana hawachelewi kusema kuna Viashiria vya uvunjifu wa Amani. Wakisikia CHADEMA matumbo joto
 
Mbona 'wanaomtetea' Profeseri Lipumba aliyewaita "Maintarahamwe" mmewaruhusu waandamane? Acha CHASO nao wafanye yao nendeni mkawapige mabomu!
Mkuu yaani kisichowezekana kwa watu wenye busara, kwa ccm kinawezekana
 
Hahaaah! Intelijensia zinasoma kweli° naona mpaka sasa hawajazuia hili tukio.

Heri uwe na nyingi akili.[emoji12]
 
Tundu ni mbunge wa CHADEMA amewashinda CCM kwa kura nyingi sana .Hata nyie CCM mnakubali msomi aliyebobea .akili za Tundu Lissu ni sawa wabunge wenu 10
Tundu Lissu uwezo wake kuchambua mambo ni mdogo sana, ni bingwa wa kukurupuka
 
Hii mpya.. naona lowasa amafanya.jitihada jina lake lisizidi kutokomea kwenye ulingo na historia ya siasa nchini..

Maigizo katika ubora wake
Wewe wachana na lowasa, huwezi kumlinganisha na viongozi wenu wafanya maigizo
 
Back
Top Bottom