Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

wekaga na picha basi
IMG-20160618-WA0027.jpg
IMG-20160618-WA0026.jpg
 
Wewe hujitambui kabisa Tundu Lissu siyo kama yule Lusinde mbunge wenu
Lusinde ni kichwa. Tatizo nyie mnachanganya kufaulu darasani na uwezo wa kujenga hoja. Tundu Lisu hamfikii kabisa hata kidogo Lusinde. Lusinde ni kichwa, kinajua kupangilia hoja.
 
Hana mvuto huyo. Sidhani hata kama huwa ana kumbukumbu, maana alituaga akishindwa uchaguzi anakwenda kuchunga Ng'ombe, sasa sijui hao CHASO ndio Ng'ombe wenyewe!
Ulitaka apige pushapu?
 
Hivi Rais wa mioyo ya watanzania kwa chadema ni Dr.Slaa imekuwaje tena mbona mnabadilika kama kinyanga ninyi?.
 
Hana mvuto huyo. Sidhani hata kama huwa ana kumbukumbu, maana alituaga akishindwa uchaguzi anakwenda kuchunga Ng'ombe, sasa sijui hao CHASO ndio Ng'ombe wenyewe!
Mwaka huu lazima mchomekee rain koti kwa kuchanganyikiwa na moto wa cdm
 
Mafisadi yamejaa huko CCM akina Chenge, Tibaijuka na wale wabunge wenu wenye kesi za kuomba rushwa hao malaika?
Nyumbu ni nyie mnaobadilishiwa singeli kila siku!
1.List of shame Lowasa no1-Lissu
2.Ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa-Lema
3.Vibaka wanachomwa moto, Wakati kuna mwizi anazunguka na fomu za kugombea urais-Mbowe
4.Atakayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili.-Msigwa
5.Nina ushahidi kamili wa Richmond-Kubenea
6.Ufisadi wa Lowasa lazima ajiuzuru-Mnyika
Na wengine weeeengi walimponda, Leo mmebadilishiwa singeli mnaimba ,Rais, Rais, sasa nani nyumbu kati ya Mimi na wewe?
 
Wakati hayo yakiendelea Dar hapa Dodoma polisi na mabomu ya washawasha wamefika katika ukumbi wa African Dreams hotel kuzuia mahafali ya Chaso mkoa wa Dodoma ambayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na Mh Sumaye! Muda huu wapo wanazungumza na Mh Mwalimu
 
Back
Top Bottom