Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

Jiwe hafai hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa, mana watatekwa watu si mchezo

Ww unaona hafai ila Watanzania wamemuamini na kumpa ridhaaa kuanzia akiwa mbunge kwa miaka 20 na Urais anaelekea miaka 10.
Waliomchagua miaka hiyo yote ni wajinga?
Em tafakari sio unaandika vitu visivyo na uhalisia
 
Huyu bwana ata huko alikozaliwa hawamtaki, hawataki hata kumsikia, acheni propaganda uchwara.
Kama hawamtaki tusubiri mapokezi ya nyomi ya Lissu, mgombea Urais, anayeota kuwa Rais kwa kumdharilisha huyo asiyependwa na watu wa jimbo lake.
 
IMG-20200914-WA0025.jpg
 
Mi nachoweza kumwambia JPM ni kwamba anapozidi kuwafanyia figisu wapinzani ili yeye apewe coverage peke yake hapo ndipo anapozidi kujipunguzia kura. Huwezi kuhubiri usawa na amani jukwaani wakati watu wanaona kabisa maneno na vitendo vyako ni tofauti.
 
Ninachoshangaa kampeni za Magufuli .... mara anailaumu CCM kwa jinsi gani wakati anaingia hakukuwa na hiki wala kile. Au kuonyesha kuwa kulikuwa na mambo mabaya yanaendelea. Halafu at th same time anasema mafanikio aliyoyapata ni mipango mizuri ya CCM ... sasa kabla yake CCM walikuwa wapi? Kama anataka kujitenga na CCM afanye hivyo tu ... Wananchi watamuelewa!!
 
Mi nachoweza kumwambia JPM ni kwamba anapozidi kuwafanyia figisu wapinzani ili yeye apewe coverage peke yake hapo ndipo anapozidi kujipunguzia kura. Hiwezi kuhubiri usawa na amani jukwaani wakati watu wanaona kabisa unadanganya!
Ati anajipunguzia kura hebu angalia matukio ya picha yanayoendelea kwenye mikutano yake ndio ujue kuwa Magufuli ni level nyingine. Lissu ni level yangu huyo kwanza sera zenyewe hana mpaka waberigiji wamemsaidia kumwandali
IMG-20200914-WA0031.jpg
 
Kwa nini Magufuli badala ya kupiga kampeni Chato ameonekana kama vile anawafokea ....!? Kaongea kimamlaka zaidi kama Rais badala ya kuongea kama muomba kura na mgombea Urais ..... Naona anawachukulia watu wake for granted!!
 
Ninachoshangaa kampeni za Magufuli .... mara anailaumu CCM kwa jinsi gani wakati anaingia hakukuwa na hiki wala kile. Au kuonyesha kuwa kulikuwa na mambo mabaya yanaendelea. Halafu at th same time anasema mafanikio aliyoyapata ni mipango mizuri ya CCM ... sasa kabla yake CCM walikuwa wapi? Kama anataka kujitenga na CCM afanye hivyo tu ... Wananchi watamuelewa!!
Ni CCM ndio ilimtengeneza Magufuli na pia Magufuli hailaumu CCM may be mtu mmoja mmoja lakini sio Chama. CCM hainaga sera yeyote kandamizi au inayoelekea kuharibu maliasili za taifa Kama Chadema wanvyosema kwenye ilani yao kuweka rehani madini yetu na kuchungia kwenye hifadhi zetu
 
Kwa nini Magufuli madala ya kupiga kampeni Chato ameonekana kama vile anawafokea ....!? Kaongea kimamlaka zaidi kama Rais badala ya kuongea kama muomba kura na mgombea Urais ..... Naona anawachukulia watu wake for granted!!
Public speaking zero
 
Wabunge wa CCM wakishafika Bungeni watalishughulikia
Mbunge wa eneo hili ni Joseph musukuma Hana la ziada kazi yake ni kusema yeye ni STD 7.kura eneo hili zitapelekwa upande wa pili bila aibu. Hakuna maji hakuna umeme kwani musukuma akichaguliwa Jana kuwa mbunge ?
 
Back
Top Bottom