Yaliyojiri Bungeni leo: Februari 2010

Yaliyojiri Bungeni leo: Februari 2010

nimekaa hapa sebuleni taarifa ya habari imekwisha yaani siamini kilichotokea Dodoma leo...sitakaa nisahau siku ya leo maisha yangu yote..
Inabidi hii tarehe 10 February ifanywe Public Holiday na ihazimishwe kila mwaka kukumbuka JANGA LA TAIFA.
 
1. CCM ushindi ni lazima...
2. Mtaji tuliyo rithi toka enzi za mfumo wa chama kimoja unatuwezesha kutawala milele!...
3. Vyombo vyote vya Usalama tunavimiliki c c m...abishae analo! Pingu tu...
4. Wananchi hawahitaji; maji safi na salama, barabara za lami, elimu ya kiwango, huduma bora za afya kwani tabibu za kijadi zinatosha, ..... wananchi wanahitaji; muda mwingi wa kulala na kupumzika na wandani wao, mlo mmoja kwa siku, watoto wasiwasumbue wazazi wakiwa wamepumzika!!!! ...

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.... Ushindi ni LAZIMA!!!!!!!

Mkuu samahani sana lakini mimi nadhani ulipotea karne.
 
Niliposema kuwa hawa ni wasanii watu humu humu jukwaani baadhi waliniijia juu. Haya sasa semeni kwamba si wasanii!
Mtadanganywa mpaka mtachoka. Wengine watajifanya ni wapiganaji humu humu jf lakini si chochote si lolote bali wako upande wa adui. Mwisho wa game watasema 'Kidumu chama cha majambazi' Endeleeni kulalamika hapa na wajinga huko vijijini waendelee kuichagua sisiemu mwisho mtauona.............. maana hakuna kisicho na mwisho ila taabu ni pale mwisho unapokuwa katika picha isiyotegemewa!
 
Now I understand why Zanzibar wants to secede from the union; and you know what , I support them .....Free Zanzibar !
 
Lakini mbona nyie mlio na elimu ni yale yale tu? Ni maoni yangu tu naomba usinijibu vibaya!

- Yaaani kama na wewe pia au wewe huna elimu na si m-Tanzania? Halafu huko bungeni si wapo na wabunge wa upinzani kwa nini hawakutoka kugomea huu uamuzi au?

Es!
 
Mshaambiwa serikali yenu ni hegemony. Inafanya kila mbinu ili tabaka la watawala libaki hapo juu. Kuna singo nyingi sana zinapita kama bubble gum. Ya CCJ ndo inatoweka hivyo. Sasa hizi za kina tics, et al si kama ni classic kwamba hazichuji. Ukweli ni kuwa ma disc jockery wanazipiga kuwakera watu fulani tu. Hope zitawakera hadi watoboe ngoma za masikio yao na ndipo itakapokuwa hasira za mkizi
 
Yaani mpaka kidhungudhungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani mpaka kidhungudhungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Umenichekesha hadi na mimi nimepata kidhungudhungu! Halafu huko Toowoomba ni wapi? Australia nini? Ushauri wa bure, usirudi kwanza Bongo. Nchi ina wenyewe ile!
 
- Yaaani kama na wewe pia au wewe huna elimu na si m-Tanzania? Halafu huko bungeni si wapo na wabunge wa upinzani kwa nini hawakutoka kugomea huu uamuzi au?

Es!
Halafu unataka wanyimwe posho wakati wenzako wanazichanga za kuhonga wananchi October
 
Niliposema kuwa hawa ni wasanii watu humu humu jukwaani baadhi waliniijia juu. Haya sasa semeni kwamba si wasanii!
Mtadanganywa mpaka mtachoka. Wengine watajifanya ni wapiganaji humu humu jf lakini si chochote si lolote bali wako upande wa adui. Mwisho wa game watasema 'Kidumu chama cha majambazi' Endeleeni kulalamika hapa na wajinga huko vijijini waendelee kuichagua sisiemu mwisho mtauona.............. maana hakuna kisicho na mwisho ila taabu ni pale mwisho unapokuwa katika picha isiyotegemewa!
bado miak mitano ya huu usanii mwisho vinyonga wote utawapaka rangi moja ya moto
 
Niliposema kuwa hawa ni wasanii watu humu humu jukwaani baadhi waliniijia juu. Haya sasa semeni kwamba si wasanii!
Mtadanganywa mpaka mtachoka. Wengine watajifanya ni wapiganaji humu humu jf lakini si chochote si lolote bali wako upande wa adui. Mwisho wa game watasema 'Kidumu chama cha majambazi' Endeleeni kulalamika hapa na wajinga huko vijijini waendelee kuichagua sisiemu mwisho mtauona.............. maana hakuna kisicho na mwisho ila taabu ni pale mwisho unapokuwa katika picha isiyotegemewa!

- Mkuu kwani wasiokua wapiganaji wamefanya nini huko bungeni kupinga huu umalizwaji wa Richimonduli, na wewe je umefanya nini? Halafu tizama hapa chini yaliyojiri huko bungeni:-

icon1.gif
Re: In Edward Lowassa, I trust...
Balozi%2B128.jpg

- Jamani hili taifa ni letu sote sio la wapiganaji tu, wewe je umefanya nini kabla hujaanza kulilia wengine!

Respect.

FMEs!
 
Wanabodi,

Kama kawaida wananchi kama mimi, tupatapo nafasi huwa tunajituma mpaka mjengoni ili kuisikia live kwa naked eyes baadhi ya mijadala muhimu. Ndivyo ilivyokuwa kwa jioni ya leo, nimejihimu ili nisikie mjadala wa taarifa mbili za serikali ikirindima.

Saa 11:00 akaingia Naibu Spika, Mheshimiwa Sana, Mama Anna Makinda.

Aliposimama na kunza kuongea, kwanza nilinote, anaongea akiwa na pressure, huku anajitahidi sana kubana pumzi, kama vile anataka kutangaza taarifa muhimu, ningekuwa siko mjengoni, ningeweza kudhani labda kuna taarifa ya msiba!.

Kumbe, alikuwa anatangaza Kikao cha Bunge Cha Jioni Hii, kilichokuwa kijadili utendaji usioridhisha wa TICTS na RITES, kimeahirishwa ghafla kufuatia taarifa hizo zote mbili kutokuwa tayari!.

Hivi jamani, hii ni serikali inalichezea bunge na kulifanyia mzaha, au ni Bunge lenyewe haliko serious enough hivyo serikali kulifanya bunge ni shamba la bibi!?.
Pasco,
God Bless you!!
 
Hiyo ndiyo Serikali ya Tanzania. haiko serious katika mabo ya msingi. Niulize kwa wanaseria, hivi hakuna kifungu chochote cha seria cha kuibana serikali au watendaji wake ambao ndo wangepaswa waandae/watoe hizo taarifa bungeni?
Hivi hiyo jana ndo walifahamu kuwa hizo taarifa hazijawa tayari ua walifahamu muda mrefu tu uliopita? Na kama wahusika walifahamu hayo, kwanini wasipange mambo mengine ya kujadili kuliko kupanga kujadili kitu ambacho hakipo tayari.

NACHELEA KUSEMA TICTS & RITES KUNA MKONO wa mtu ambaye anainfluence kubwa serikali ndo maana hayo youte yakatokea.
 
- Mkuu kwani wasiokua wapiganaji wamefanya nini huko bungeni kupinga huu umalizwaji wa Richimonduli, na wewe je umefanya nini? Halafu tizama hapa chini yaliyojiri huko bungeni:-

icon1.gif
Re: In Edward Lowassa, I trust...
Balozi%2B128.jpg

- Jamani hili taifa ni letu sote sio la wapiganaji tu, wewe je umefanya nini kabla hujaanza kulilia wengine!

Respect.

FMEs!
Niko kazini na mwisho wa game nita win. Kwa sasa hivi tuko dakika ya 45 usinibeze ukadhani sifanyi lolote. Iko siku utakuja nifahamu nikiwa nimewin game hili!
 
hayo muliyo yasema yana umuhim wake lakini hili lakatiba ndilo litakalo tengeneza heshima ya Government,, namaanisha Raisi, bunge na Selikali yake
 
Back
Top Bottom