Hatuna binge bali kikundi cha maigizo kikiongozwa na muigizaji wa kinyamwezi
Muda mfupi uliopita bunge lilihitimisha mjadala wa richmond, huku wabunge wote wakiunga mkono hoja hiyo. hata hivyo samweli sita amemuonya vikali mbunge wa igunga rostam aziz kuacha umbumbu wake wa kutaka eti iundwe jopo la majaji watatu kupitia mapendekezo ya bunge kuhusu richmond.
ameonya vikali kuwa kama ataendelea kuzungumzia jambo hilo then atatumia vilivyo kanuni za bunge dhidi yake
aidha amemkumbusha rostam kuwa alikuwa na hiari kulileta upya swala la richmond ndani ya mwaka mmoja na kuwa muda huo sasa umepita,hivyo kwa vyovyote vile hana mamlaka tena kisheria kuzungumzia jambo hilo.
sasa kama wamepitisha Rostam aendelee kulizungumza la nn? Wadanganyika kwa viini macho tu!Muda mfupi uliopita bunge lilihitimisha mjadala wa richmond, huku wabunge wote wakiunga mkono hoja hiyo. hata hivyo samweli sita amemuonya vikali mbunge wa igunga rostam aziz kuacha umbumbu wake wa kutaka eti iundwe jopo la majaji watatu kupitia mapendekezo ya bunge kuhusu richmond.
ameonya vikali kuwa kama ataendelea kuzungumzia jambo hilo then atatumia vilivyo kanuni za bunge dhidi yake
aidha amemkumbusha rostam kuwa alikuwa na hiari kulileta upya swala la richmond ndani ya mwaka mmoja na kuwa muda huo sasa umepita,hivyo kwa vyovyote vile hana mamlaka tena kisheria kuzungumzia jambo hilo.
Hii ilikuwa bonge la movie ndefu. Nasikitika sana kuona eti watu tunashangaa na jinsi hili jambo lilivyokwisha. Hivi kuna namna nyingine hii picha ingekwisha wakati starring anajulikana na mnajua wote kuwa 'STARRING HUWA HAUWAWI"??Muda mfupi uliopita bunge lilihitimisha mjadala wa richmond, huku wabunge wote wakiunga mkono hoja hiyo. hata hivyo samweli sita amemuonya vikali mbunge wa igunga rostam aziz kuacha umbumbu wake wa kutaka eti iundwe jopo la majaji watatu kupitia mapendekezo ya bunge kuhusu richmond.
ameonya vikali kuwa kama ataendelea kuzungumzia jambo hilo then atatumia vilivyo kanuni za bunge dhidi yake
aidha amemkumbusha rostam kuwa alikuwa na hiari kulileta upya swala la richmond ndani ya mwaka mmoja na kuwa muda huo sasa umepita,hivyo kwa vyovyote vile hana mamlaka tena kisheria kuzungumzia jambo hilo.
Tena Umaskini wa Mawazo....umasikini kitu kibaya sana
Tena Umaskini wa Mawazo....
Tena Umaskini wa Mawazo....