Kwakweli wabunge wa Ccm ni aibu kwetu na Taifa kwa ujumla,huyu mbunge Diana Chilolo anatoa mipasho tu hajui chochote najisikia hata aibu
Hata wewe!?
ni TBC
yaani nimtolee mwanangu anaangalia ben10 niweke drama za maccm c hata yy ataona baba yake hazimo
Hakuna aliyetaja kifungu cha sheria husika hata mmoja!..,awe anasifia au kuunga mkono hoja!..hii ni aibu sana
Leo Makinda imeitisha bunge limsifu yeye .badala ya kwenda msifu Mungu kanisani.kila mburura anae simama anamsifia spika anakashifu upinzani anaunga mkono hoja 100%.