Hapo mkuu sasa umeongea lugha ya wazi mno, watasitisha safari hawa wenye mabasi, ih!
Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude
Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude
mkuu usiwafahamu vibaya. kwani wakifanya hivyo unavyosema wewe hayo madude yatakuwa ndio mwisho wake.... na ndio itakuwa hasara kwa wote...... wasamehe tu...... kiroho safi...Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude
hii wrong turn nahisi tugeuze tu,tusije tukaliwa na mazombieand me too!may be we have lost our way!!!
Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude
kwan mkuu bado unapanda basi la blue?halina safar za usiku.. Mpaka gnaaabak,.. Yaan kabaaa?
Agh mi nipo na zantel bando la 20000 mwezi nzima lipo safarini tu,sitaki kuchakachua!!
Gawa hizo bundle mapema unaeza haribu modem
duh hapa nimeachwa japo kifu kinaonekana kitamu
How?? kuharibu modem tena??