Yale madude yetu yapo hewani

Yale madude yetu yapo hewani

mzeee ukisikia madude ni zile free surfing za usiku za bure na wanaposema magari na vituo ni hii mitandao iliyopo nchini na vituo ni ule muda wa kuanza hiyo huduma haaaa haaa haaa!!!!! Ukiwa unasoma unahitaji akili icheze sana

mkuu mbona unanyea kijiwe? umesanua kambi mwana.haiko shkopa hata kidogo
 
huu uzi ushaharibika, tayari wasiohusika washaingia na wameshajua kinachojiri mwanzo mwisho, ni kama mnaamsha hao jamaa wazibe

Na ndio maana mimi siku zote nina mashaka na hawa watu wanaopost na kujifanya wamegundua chochoro juu ya mambo haya.Wazoefu wanafahamika na jinsi na kuspread message kwa wadau inafahamika,sijajua ni kitu gani kinakuwa kinawawasha watu wengine hadi wanashindwa kutulia au kutumia njia salama za kuspread message.

Hadi hapo sijaona ni kitu gani kimejificha.Hata mwanangu wa miaka sita,kwa mjadala huu angekuwa ameishajua kinachoendea.Anyway,ngoja jamaa wabane ndio akili zitawasogea.Yaani sijajua ni hadi lini watu wataendelea kupenda misifa ya kijinga namna hii...Shit.
 
Acha kubana bhana ww. By the way wese limeisha so gari parking.. shit
 
Acha kubana bhana ww. By the way wese limeisha so gari parking.. shit

fastjet-Banner-Swa.png
Tumia usafiri huo ni nafuu zaidi
 
Jaman wakuu ukipewa kit si utlie nacho sasa umbea wa nin?ONA XAXA WAMEFUNGA..MWENYE NJIA MBADALA AN pm wakuu na watoto wa juzi wote tnapitisha SENSA mana mmezidi kujiachia
 
jaman wakuu ukipewa kit si utlie nacho sasa umbea wa nin?ona xaxa wamefunga..mwenye njia mbadala an pm wakuu na watoto wa juzi wote tnapitisha sensa mana mmezidi kujiachia

watu wanakimbiza mbaya dah
 
Nnamashaka kama sio mibangi inazungumziwa hapa...
 
Jaman wakuu ukipewa kit si utlie nacho sasa umbea wa nin?ONA XAXA WAMEFUNGA..MWENYE NJIA MBADALA AN pm wakuu na watoto wa juzi wote tnapitisha SENSA mana mmezidi kujiachia

kizuri kula na nduguyo bana.
we mwenyewe umemegewa why hutaki kuwamegea wengine.ukipewa na wew toa
 
Back
Top Bottom