Yale madude yetu yapo hewani

Yale madude yetu yapo hewani

Shaffin Simbamwene

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2008
Posts
2,156
Reaction score
1,539
wakuu madude yashachukuliwa na wanaohusika nayo so sitojibu pm zinazoulizia madude. ila wale nilioshare nao kama mmepata njia nyingine za kupitia mabasi msisite kunipa pande
 
Je ndugu zangu mnaongelea nini? Ila kama ni filamu 'chafu' bora nisipate habari zake.
 
Kwi kwi kwi Kimbori umenichekesha kweli mkuu!!! Filamu chafu na hili jukwaa wapi na wapi kamanda? Umeambiwa ni kamanyola bila jasho so wewe wa hip hop kausha tu mkubwa
 
Last edited by a moderator:
hahaaa siku hizi kimya kimya mkuu
Umesomeka Bigbrother

kwani yaliacha mkuu? Yapo mengi tu sema watu walikimbia tu baada ya kua kuna mambo megine
Yep waliyakimbia baada yakuona yanapoteza umakini !!!!!
Mpaka leo yapo machache mno tena yanalimitiwa so kama unayo yanayosupport utube steaming na download 100% ni PM nione
 
Mkuu Mbona unafukua waliokufa?
Mambo kimya kimya bana si waona madogo washaana kuuliza uliza hiyo ngoma ya kichawi inachezwaje?
Wewe ulitakiwa uwa PM tu wavutaji wa hiyo midude bila kuwagutusha wengine.
 
vijana wanashangaa shangaa hahahahhaaaaaaaaaaaaaaa
 
kwani si walishasitisha safari za usiku au ni kwangu tu?

mkuu kuna mabasi mawili ya nafanana ila moja lina nauri kidogo ambalo lilileta hitilafu siku mbilitatu but now safari kama kawa but bus jingine mie wala sijawahi litumia.
 
Mambo ya BASI LETU ngoja wasitishe safari za usiku uone vurugu za kuomba lift.

Mbona usafiri upo mwingi tu kaka...... Kuna train ya Mwakiyembe, Fastjet hata Nissan Paje-ro siku hizi zinabeba abiria sema safari za usiku ndiyo zinaongoza kwa mwendo kasi na gharama zake ni nafuu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu katika kupekua pekua nimegundua yale madude yetu bado yanakubalika, nimepata moja iliyo stable kusurf na kustream youtube but haisupport download. Haya wazee wa ngoma za kizamani wani PM tushare

baadhi ya vipuri vya mabasi vimelika na kuregea. basi GURU amerudisha heshima yake....... this time.... itakuwa too much kimyaaa
 
baadhi ya vipuri vya mabasi vimelika na kuregea. basi GURU amerudisha heshima yake....... this time.... itakuwa too much kimyaaa
Nilijua tu lazima utaibukia huku ili kutetea mkate wako maana hawa jamaa wanakutia jambajamba.
Just imagine watu wanajipoza na madude njakati za jua kali ili kusubiri giza liingie wapande mabasi ya usiku wafikiri wangapi watatumia Guru wakati train ya Mwakyembe inapiga ruti za Kigoma-Mwaza na Fastjet nao bei poa........tafakari....shusha bei
 
Back
Top Bottom