Yale madude yetu yapo hewani

Yale madude yetu yapo hewani

Jamani JF ni community forum inatoa vitu kwa jamii nzima hivyo si kila kitu unachokiona humu basi kinakufaa..!! ukiona kitu huelewi basi ujue si kwa ajili yako..na ndo maana hata kuna majukwaa na threads tofautitofauti...yaani kama ilivyo katika jamii tunazoishi si kila kinachofanyika katika jamii unayoishi na wewe lazima ufanye..so wakati mwingine tuache kulalama kwa vitu ambavyo hata uelewi..

naitafta "like" nisubilie nikaombe pc kwa jirani
 
wakuu mimi nina kabasi kangu kadogo kias ila huwa kanakidhi mahitaji, nikikaweka hapa katapinduka mapema, wanaokataka wanipm ila ni wa basi jekundu tu,

Dah....nilikuwa busy sana hivyo nimepitwa na mengi but nimeipenda hii.
Kama vipi nicheck PM Kamanda
 
mkuu kuna mabasi mawili ya nafanana ila moja lina nauri kidogo ambalo lilileta hitilafu siku mbilitatu but now safari kama kawa but bus jingine mie wala sijawahi litumia.

unawapasua madogo vichwa... These days hii forum sio safe kabisa kumwaga mavitu heavy,.. Storroways kibao humu...
 
afadhali umesema bosi jamaa wanazingua!!!
mzeee ukisikia madude ni zile free surfing za usiku za bure na wanaposema magari na vituo ni hii mitandao iliyopo nchini na vituo ni ule muda wa kuanza hiyo huduma haaaa haaa haaa!!!!! Ukiwa unasoma unahitaji akili icheze sana
 
mzeee ukisikia madude ni zile free surfing za usiku za bure na wanaposema magari na vituo ni hii mitandao iliyopo nchini na vituo ni ule muda wa kuanza hiyo huduma haaaa haaa haaa!!!!! Ukiwa unasoma unahitaji akili icheze sana

aamhhh usiku you say, think again!! 😉 ;D
 
Gari jekundu limeongeza safari zake kwa raia yeyote wa hapa nchini awe mzungu ama mwafrika, atasafiri bila shida kwa nauli hizo zilizopangwa. Kwa maelezo zaidi jaribu kusachi mfukoni mwako una shs ngapi utapata maelezo jinsi ya kufanya booking. NB nauli hizi zimeanza leo 21-3-2013 changamkieni wale wa safari za karibukaribu.
 
Uliza wallet yako ina shs ngapi majibu yatakuja na maelekezo. NB hii ni kwa ile kampuni ya usafirishaji inayobadilibadili majina yake.
 
Hongereni kwa kuboresha kiswahili, coz wengi wasiojua wameachwa njia panda, mi mwenyewe sasa hivi niko safarini na basi la usiku. Ya mchana na fastjet yanabei!!!!!!!!! Nauli tu, unanunua basi lako mwenyewe.
 
bora ubaki huko huko dfreym haya madude yanashindwa kupanda milima so hata stream hakuna leo siku ya 3 ila kama madude ya kusurf yapo kaka
 
Last edited by a moderator:
bora ubaki huko huko dfreym haya madude yanashindwa kupanda milima so hata stream hakuna leo siku ya 3 ila kama madude ya kusurf yapo kaka

Speed yake inaenda km ngapi kwa saa? Au isije ikawa labda huko unakoishi hakuna lami ni mabondemabonde tu hamia mjini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom