Yale madude yetu yapo hewani

Yale madude yetu yapo hewani

Guys, is it just me or the hacks are not working anymore! Leo cku nzima nlikua nastream Bhuree kwa raha till evening mitambo ikazimwa. Aje? Shaffin Simbamwene
 
Last edited by a moderator:
Mwendo mdundo Good Guy!! Kama mmekwamatopeni safisha njia au piteni barabara isiyo na tope kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu zile krosi mbili ulizonipigia zimekabwa zote?? Sikuzitmia, nilikua nasubiri fair play yangu ya mwez iishe
 
Mkuu zile krosi mbili ulizonipigia zimekabwa zote?? Sikuzitmia, nilikua nasubiri fair play yangu ya mwez iishe

Nishakupigia pande lingine ila mida hii ya kubundi ngome haipenyeki kirahisi maana wanapaki bus golini so tunacheza nusu uwanja mpaka kucha kuchele.
 
baadhi ya vipuri vya mabasi vimelika na kuregea. basi GURU amerudisha heshima yake....... this time.... itakuwa too much kimyaaa
Boss Paje niweke sawa mdogo wako maisha yamezidi kuwa magumu Than ever before, hapa mnazungumzia ule usafiri wa mabasi au hizo sukari guru ili tujichanganye
 
dah atimae kimeeleweka baada ya kuwa gizani mda mrefu,nimejaribu kupitia zile za nyuma sasa nimeona mwanga Big up guyz, waacheni HATERS wang'ae sharubu
 
dah wazee mm tu ndo pm zangu hazijibiwi wote watanzania jamani
 
Shaffin Simbamwene niPM nami hizo za zamani nilitumia kidogo japo Proxy zikawa zzimezingua na hamu ya kushusha madude ya piratebay kwa wingi.MSINISAHAU NAMI IWE TENDE,HALUA HATA KASHATA NATUMIA.
 
Nilitaka kushangaa. Engineer nishindwe hivi vi tenzi kuvielewa?
Alaah,
 
huu uzi ushaharibika, tayari wasiohusika washaingia na wameshajua kinachojiri mwanzo mwisho, ni kama mnaamsha hao jamaa wazibe
 
huu uzi ushaharibika, tayari wasiohusika washaingia na wameshajua kinachojiri mwanzo mwisho, ni kama mnaamsha hao jamaa wazibe

Kabisa mkuu!!!
Mtoa mada alianza vizuri tu but vilaza walikuja kuharibu mbeleni yaani badala ya kwenda pm wao wanalalama tu, nadhani hii ndiyo sababu iliyomfanya mkuu e2themiza astaafu kabla ya umri maana inachosha mno mtu unahangaika kutafuta usafiri afu wachache wanakuja kutoa upepo kwenye tyre ili gari isiende.

Uhsuri wangu kama kuna mazuri ya kushare mambo yetu ya kikubwa iwe mwendo wa PM tu watoto na wale wanaotia shaka wasipewe hata iweje
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom