Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,631
- 2,748
SMG?, a crushing gunmakovu ya risasi ni madogo sana ndugu na unaweza usiyaone kabisa
Inaelekea ulihusikaKuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Waambie wenzio ambao hawataki kabisa kuhoji jambo lolote kuhusu lisu. Inatia shaka sanaMkuu hata mimi naamini kwamba Lissu kapigwa risasi, na kwa mujibu wa maelezo kuna risasi zilipiga mguu wa kushoto, mkononi na maeneo mengine ya mwili wake. Ila hata mimi kwa hizi picha sioni mahali penye kovu. Wangalau mpiga picha angejitahidi kupiga mguu huo wa kushoto vizuri ili kuondoa shaka shaka. Na kama ametibiwa vizuri kiwango cha kutuoonyesha makovu ni suala la kupata maelezo ya kidaktari. Hata mimi sioni haja ya kubishana iwapo tunataka kupata ukweli. Ni vyema hao wanaompiga Lissu picha wakapiga na eneo lenye makovu ili kutoa hii shaka inayojitokeza, bado hutajafikia kuzuia wenye kutaka kuhoji maana hata mimi napenda kuhoji na kupata majibu sahihi.
Mkuu huhitaji kuishi kama mpiga ramli.Tumeambiwa lisu alipigwa Risasi 38 na 8 ndo zilizompata.Zingine mikononi na zingine miguuni.Tulitegemea ktk picha tuone maeneo aliyopigwa na hakukuwa na shida ya kuficha coz ni accessible. Ni swali lenye logic kabisa,huhitaj kukarr kila kitu hata yesu aliwaonesha wale matomaso makovu ndo wakaamini.Kingine Mbowe anadai Bado Risasi moja haijatolewa,hiyo risasi haijatolewa wapi?Kumbuka tukio limetokea mwezi wa Tisa huko now ni miez minne kasoro,ni kweli inawezekana risasi kukaa mda wote huu?..mbona hamkumkagua Mzee Kikwete makovu ya upasuaji aliofanyiwa?
..hivi mnataka kubishana mpaka kama TL amepigwa risasi au la?
..kwanini msiulize Madaktari wa serekali waliomtibu Dodoma walimkuta na risasi wapi?
Cc tindo
Nakumbuka kama risasi nyingi alipigwa maeneo ya paja
Mbona mnakua wakali na mnaforce watu wakariri?Kwa kupenda kiki,hayo makovu yangekuwepo mngeyasambaza kwenye mitandao na kupiga kelele sana.Huyo lisu inatakiwa akahojiwe na akina zuhura Yunus.Matomaso waende na Nairobi au wansubiri akirudi Tz kwani kwa kawaida ya " Matomaso" hawaamini mpaka .......kama alivyokuwa Tomaso (original)
Hahaha... Enhe ukiona then what?Mkuu huhitaji kuishi kama mpiga ramli.Tumeambiwa lisu alipigwa Risasi 38 na 8 ndo zilizompata.Zingine mikononi na zingine miguuni.Tulitegemea ktk picha tuone maeneo aliyopigwa na hakukuwa na shida ya kuficha coz ni accessible. Ni swali lenye logic kabisa,huhitaj kukarr kila kitu hata yesu aliwaonesha wale matomaso makovu ndo wakaamini.Kingine Mbowe anadai Bado Risasi moja haijatolewa,hiyo risasi haijatolewa wapi?Kumbuka tukio limetokea mwezi wa Tisa huko now ni miez minne kasoro,ni kweli inawezekana risasi kukaa mda wote huu?
Jamaa ana akili ya ujimaBaadhi ya sehemu alizopigwa risasi zilidhurika sana kiasi cha madaktari kutoa nyama na ngozi sehemu nyingine na kuweka sehemu zilizodhurika. Huwezi kuona kovu hapo......
Mbona mnakua wakali na mnaforce watu wakariri?Kwa kupenda kiki,hayo makovu yangekuwepo mngeyasambaza kwenye mitandao na kupiga kelele sana.Huyo lisu inatakiwa akahojiwe na akina zuhura Yunus.
Hoja ni yako wapi makovu? Mbona ni swali simple sana na mwenyekiti anadai kuna risasi moja bado hawajaitoa hahahahah msiwafanye watanzania wapumbavu.Mimi si katika hao
ila nionavyo ni kama ninyi mnatuchosha hapa katika jukwaa kwa kuleta malumbano yenu halafu kila mmoja wenu analazimisha (sio kutamani /kushawishi) jukwaa zima liwe upande wake.
Muulize speaker ambaye alikuwepo Dodoma pale hospitali,au nenda Kenya ukaichunguze miguu yake,na usiporidhika mmiminie nyingine ili yaonekane makovu unayoyapenda.Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Hoja ni yako wapi makovu? Mbona ni swali simple sana na mwenyekiti anadai kuna risasi moja bado hawajaitoa hahahahah msiwafanye watanzania wapumbavu.
Yako wapi makovu? Acha kupiga ramli,waeleze yako wapi makovu?Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba hakupigwa risasi?
kawaambie waliotoa camera kule dodoma wakuoneshe makovuJibu ni rahisi sana. Onyesha kovu lilipo na sio kuleta usanii wa kumfanya Lissu Mtaji wa Sacco's yenu.