Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Dah!...siasa hizi.
 
LEO NIMEKUELEWA
 
Watanzania siyo walemavu ni watu wa kazi.

Wanachohitaji ni haki ya kufurahia jasho lao.

Korosho.

Watumishi wa umma.

Fao la kujitoa.

Uhai.

Biashara.
 

Watu WASHAWISHIKE na SERA MBADALA zenye huo mwelekeo wa kututoa kiukweli TULIPOKWAMISHWA. WATU WAELEWE na KUSHAWISHIKA!
 
Tutampa kura ili bashite, jiwe na wasiojulikana na wao wasomeshwe namba 😎😂😂😂😂
 
Hi picha ifutwe, inakiuka maadili ya kitabibu, tunza Siri za mgonjwa/client, niukiukwaji wa human rights, mods, iondoeni haina mlengo mzuri Kama tunavyodhani, uzi ufute
Huwezi jua labda kairuhusu yeye itolewe. Maana anajijua mwenyewe anavyowaza na kuwafikiria watanzania.
 
Pole sana ndugu Tundu Lissu kwa unyama uliofanyiwa lakini kiukweli kwa sasa MAGUFULI anatutosha...Sera zako kiukweli hazina maana sana kwa kipindi hichi tulichopo muda mwingi unatumia kukosoa mfumo na sio kusema kipi utafanya kwenye maendeleo...Sera yako ni katiba mpya , sidhani kama tunashida saaana na katiba mpya kiasi kwamba iwe ndio priority yako ya KWANZA ... subili tumalizane na huyu JPM labda akitoka urudi kuomba tena ila kwa sasa KURA YANGU NI KWA MAGUFULI
 
Mnazidi kumdhalilisha mgombea wenu. Dunia nzima inaifahamu hii picha, mnaitumia kupata huruma...hatudanganyikiii. Mungu atamtia nguvu na kumponya majeraha yake.
** Amiri jeshi mkuu anapaswa kuwa physically and mentally fit. Hana sifa hizo... ubunge ungemtosha.
 
Mmmmh... Demi hujafa hujaumbika rafiki....tukianza kuzungumzia afya za watu hapa kimwili na kiakili.....!!!naomba tuhifadhi maneno
 
Kumbe na wewe demi kichwani kweupee hivi??? Sasa jf Great thinkers kabaki mshana au[emoji23]
 
Hujafa hujaumbika kuwa na akiba ya maneno.

Unaweza kutoka kwako mzima ukarudishwa huna Miguu au mikono.
 
Haya hapa
 
Wewe kweli ni shetwain, makovu yatakusaidia nini?
 
Na ndio mguu anaochechemea
 
Kwani wewe makovu ya fimbo ulizokuwa unachapwa makalioni shuleni kwenu yako wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…