Hakika ni bongo muvi tuRisasi 16 zote zimetolewa nyuma ya goti la kulia, mkono na nyonga.huh!
Mguu wa kushoto anaweza kucheza muziki. Mwanzoni kipindi cha michango tuliambiwa tumbo, miguu na mkono.
Dereva hana tena matatizo ya akili ila yuko naye kama kuhijiwa watahojiwa wote.
Amesema kuwa hakuna upelelezi unaoendelea kwa sababu inabidi mtu wa kwanza kuhojiwa awe yeye na dereva wake.
Akarudia mikwala ya kuwa polisi wa Tanzania hawawezi kumuhoji akiwa Kenya labda ahojiwe na polisi wa Kenya.
Kuna bongo movie inachezwa hapo!
Hakika ni bongo muvi tu
Huruma alishaipata hadi watu wakasahau hii nikuonyesha umma jinsi gani aliumizwa?This is so bad. Kuna watu watakuja na propaganda. But this gug he did not deserve this. It is evel..
mkielezwa mtaelewa?Pamoja na mambo mengine, sisi Watanzania tunataka kusikia ni kwa jinsi gani Ndg Tundu lisu atatutoa hapa tulipo kutupeleka mbele zaidi hasa kiuchumi.
Tunataka wagombea wetu waeleze kinaga ubaga ni kwa jinsi gani wataweza kuifikisha nchi kwenye peek ya uchumi wa kati wa pato la kila mtanzania kufikia wastani wa dola 3000 hapo 2025,huku uchumi huo ukichagizwa na maendeleo ya viwanda.
Binafsi picha hizi hazisaidii, watu hawapigi kura kwa huruma bali kwa yule atakayewaletea maendeleo.
Watu wa CCM wameipataje?Naona baada ya kuona watu wengi wamesema Lissu asijikite kwenye kampeni kueleza majeraha yake bali ajikite kuongea mambo mengine yenye 'tija' basi makada ya CCM yanaitumia hii picha kama Ngao....mtu aniprove wrong mleta mada ni CCM pure...tunajua hamko sympathetic na Lissu ila kumtumia kaka wa watu kwa manufaa yenu wenyewe...hayo majeraha mnayoyaona ni REAL ... rais wenu awe na aibu akiyaangalia...
Ifutwe vp.. kwNi imepigwa kwa kuviziwa !? Ni mwenyewe aliipost mtandaoni.Hi picha ifutwe, inakiuka maadili ya kitabibu, tunza Siri za mgonjwa/client, niukiukwaji wa human rights, mods, iondoeni haina mlengo mzuri Kama tunavyodhani, uzi ufute
Mods wafute haraka, najua mnamjua Lisu kwa sheria, atawashughurikia maana haijatolewa na Lisu mwenyewe, so haina kibaliNaona baada ya kuona watu wengi wamesema Lissu asijikite kwenye kampeni kueleza majeraha yake bali ajikite kuongea mambo mengine yenye 'tija' basi makada ya CCM yanaitumia hii picha kama Ngao....mtu aniprove wrong mleta mada ni CCM pure...tunajua hamko sympathetic na Lissu ila kumtumia kaka wa watu kwa manufaa yenu wenyewe...hayo majeraha mnayoyaona ni REAL ... rais wenu awe na aibu akiyaangalia...
HahahaaMungu yupo anaishi ni mwema siku zote kura yangu nampa Jiwe.
Mods wafute haraka, najua mnamjua Lisu kwa sheria, atawashughurikia maana haijatolewa na Lisu mwenyewe, so haina kibali