Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
MUULIZE MSHANA ATAKUWA ANAWAFAHAM HATA WAWILI WATATU KM MLETA UZI NAFIKIRI NI MWANGAHivi jf hakuna wachawi kweli???
Yupo hospitali sio kwa sangomaKuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Mkuu, unataka kusema ni kiki ezi yujo? Ila risasi kweli alipigwa sema tu wapigaji kwenye kulenga shabaha walipata zero au hawakutaka kumuua. Risasi kibao kweli wasilenge kichwa au kifua kama kweli lengo lao lilikuwa kummaliza? Pengine walikuwa wanatuma salamu tu...Ishu ya lissu kama picha la kihindi la misuni chakalabot. Maana mwenyekiti wa milele kaongopa sana
Swali inaonekana ni gumu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbona watu hawajibu hili swali kama lilivyoulizwa....Hongera mleta uzi...
..kwenye video TL anaeleza kwamba majeraha makubwa yako kati ya goti na nyonga.
mahojiano ya kirefu aliyofanya lissu - YouTube
cc USSR, MISULI
Hahaha kumbe ana ugonjwa wa akiliWatu wenye mtindio wa ubongo haya ndio maswali yao!
Lingine hili hapa...
Swali? Wanawake mnawekaga wapi simu zenu
wewe ni zaidi ya thomas................aliyetaka kuona makovu ya misumali.Baadhi ya sehemu alizopigwa risasi zilidhurika sana kiasi cha madaktari kutoa nyama na ngozi sehemu nyingine na kuweka sehemu zilizodhurika. Huwezi kuona kovu hapo......