Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,812
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
tapatalk_1514759650411.jpeg


Hii imekaaje?
 
Mkuu kwani mguu unaanzia wapi na kuishia wapi? Wewe ulitaka apige picha akiwa uchi ili uone hayo makovu? Kama una hamu sana ya kuona makovu ya risasi kwa Lissu, Nairobi sio mbali nenda kamwone na ukifika sema unaomba kuona makovu ya risasi. Kama huna nauli omba msaada utachangiwa. Hii mada ungesubiri kidogo mwaka uanze kukomaa kuliko kuileta mapema namna hii.
 
Back
Top Bottom