Dabaga1998
JF-Expert Member
- Apr 10, 2016
- 994
- 502
Tulianza kuwa wajinga pale tulipoanza kwenda shule, kwa sababu elimu inayobadirika kutokana na mihtusari ni jambo lisilo afya kwa mwanao, mwanangu alipojua kusoma nikaanza kumpa vitabu vya historia na fasihi aelewe dunia na watu pia mahitaji yao, nadhan Kim jong aliniiga mm kwa mwanaye yule wa miaka Tisa ambaye n general jeshini.
Nchi hii inawapumbavu wengi kuliko wajinga na ndio maana mshana Leo anaogopa pamoja na bujibuji.
Wajinga sio shida kwan wakijua kusoma watanyooka
Wapumbavu hawajielewi na hawajui kuwa ni wajinga wala werevu.
Mpumbavu amesoma na akafahulu ujinga.
Mpumbavu ni makini na ndio maana wanaishi vizur.
Wapumbavu waovu kwa kuwa dhamiri haisemi tena.
Wapumbavu ni wabaya.
Ni hero mjinga mwenye busara kuliko mpumbavu mwenye hekima.
Haya ndiyo maneno aliyosema Mange Leo:
upendane??? We mzee embu muogope Mungu, Mungu hadhihakiwi?? Tupendane?? Wewe Unajua hata maana ya upendo?? Umeitufua nchi kwa chuki zako then unasema tupendane?? Umemlaza Lissu kitandani miezi 6 alafu unasema tupendane?? Unaumaliza upinzani na kurudisha nchi kwenye chama kimoja then unasema tumepande? Umewafanyia watanzania ushenzi wa hali ya juu kwenye uchaguzi wa Kinondoni na Siha then unasema tupendane?? Umewatoa jela wabaka watoto ila umewaacha mashekhe sabbau ya dini yao then unasema tupendane? Unawafunga viongozi wa upinzani then unasema tupendane. Umeua Uhuru wa habari kwenye nchi yetu the unasema tupendane?? Juzi umeifanya ITV iombe msamaha kwa kusema ukweli? Umethubu kuiteka NEC to the extent ya NEC kuteua makada wa CCM kusimamia uchaguzi then unasema tupendane?
.
.
Ukipendwa na Bashite inatosha mbwa wewe!! .
.
.
Tarehe 26/April tunakuchomoa Ikulu. Bila kukuondoa wewe taifa litaangamia. Unatupeleka pabaya Na maandamano yetu malengo yake sio kuiondoa CCM madarakani kla kukuondoa wewe na Shein ili tuweze kupata katiba mpya za NEC na ZEC mpya ili 2020 tuweze kuwa na uchaguzi wenye haki. Tumechoka uchaguzi ambao tunajua CCM ndio washindi!!! Tunataka chama kinachochaguliwa na watanzania walio wengi na sio chama kinachochaguliwa an NEC au ZEC. We are tiredddddddddddd!!!!!!
.
.
Huna hata heshima na jeshi letu, unalindwaje na jeshi la Rwanda kwenye ardhi ya Tanzania kama sio dharau kwa jeshi letu? Ikulu nzima imezingirwa na wanajeshi wa Rwanda. It’s a shame for this country. Jeshi la polisi umeingiza polisi wa Rwanda na itakuwa ndo hao wenye roho mbaya wanaofyatulia watu risasi. Polisi wetu hawakuwahi kufatilia risasi waandamaji huko nyuma... Pumbav. Mama Samia aendeshe nchi mpak
.
.
Umetuongezea umaskini, hakuna ajira, hakuna dawa, hakuna mikopo ya chuo, mabenki yanakufa, unatudai makodi mpaka tunapata presha. Watumishi umewatimua kwa Cherie feki, Unatuvunjia nyumba zetu bila fidia, walimu unawanyanyasa, , watumishi wa umma unawanyanyasa, is UmkaliaTumekuchokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa