Yajayo hayavutii..... Ficha ID yangu...!!

Anaichukia ccm hatari kama ndivyo basi asingemtukana mkulu matusi ya nguoni
Kakudanganya nani?
images-1.jpg
 
Nimekupa like sababu nimependa mwendelezo wa stori ila nimetoka kapa. Nini maana ya mpumbavu tafadhari? Kwa uelewa wangu mdogo, mjinga ni yule asiyeelewa mambo yanayomzunguka na hawezi kuyafuatilia mfano kama hawezi kusoma na kuandika na kuhesabu???? Mpumbavu je?
Soma pale mwanzon ndipo ilipo maana, huko chini ni udadafuz.
Unapofikir juu ya maana unganisha tittle.
Lkn maelezo yako umepita kinyume na mm.

Labda nikuulize niah n mjinga au mpumbavu?
 
Marahaba nipo nafatilia uzi wa hakimu mfawidhi kufa na huyu mg'oa kucha alivyomtabiria. Nacheka mpaka sina mbavu.
Kuna watu wana midomo mibaya mno
 
Who knows kama ni spy wa serikali ili wale watu wa hide my id wajulikane na kushughulikiwa kisiri.

Ujasusi una mbinu nyingi huyo mwanamke si wa kumwamini,kabeba id za wasaliti wa serikali
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]
 
Which date Mkuu? Tuambie kwenye anga zako za kichawi unayaona yepi? Tumegee hata kiduchu tu. Vipi kuhusu ile ndoto ya Lema wewe bado hujaiota Mkuu?

Save the date...
feda3e08bb750588af0b899f894723db.jpg

Ficha ID yangu... Hide my ID... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji124] [emoji144] [emoji124]
 
Dah! Kajilipua mzima mzima! Ajihesabu kishafukuzwa kwenye chama cha wahuni, wauaji na mafisadi, pili watu wasiojulikana wataanza kumfuatilia ikiwezekana kumteka, na kumtesa sana hata kumua na mwili wako kuokotwa ufukweni na hautajulikana ni mwili wa nani. Au anaweza kupotea tu kama Ben Saanane au yule mwandishi wa Mwananchi.

Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?

Mafuta huwa hayajichanganyi na maji, jamani haya ndiyo yaliyosemwa na Dada Mange:

upendane??? We mzee embu muogope Mungu, Mungu hadhihakiwi?? Tupendane?? Wewe Unajua hata maana ya upendo?? Umeitufua nchi kwa chuki zako then unasema tupendane?? Umemlaza Lissu kitandani miezi 6 alafu unasema tupendane?? Unaumaliza upinzani na kurudisha nchi kwenye chama kimoja then unasema tumepande? Umewafanyia watanzania ushenzi wa hali ya juu kwenye uchaguzi wa Kinondoni na Siha then unasema tupendane?? Umewatoa jela wabaka watoto ila umewaacha mashekhe sabbau ya dini yao then unasema tupendane? Unawafunga viongozi wa upinzani then unasema tupendane. Umeua Uhuru wa habari kwenye nchi yetu the unasema tupendane?? Juzi umeifanya ITV iombe msamaha kwa kusema ukweli? Umethubu kuiteka NEC to the extent ya NEC kuteua makada wa CCM kusimamia uchaguzi then unasema tupendane?
.
.
Ukipendwa na Bashite inatosha mbwa wewe!! .
.
.
Tarehe 26/April tunakuchomoa Ikulu. Bila kukuondoa wewe taifa litaangamia. Unatupeleka pabaya Na maandamano yetu malengo yake sio kuiondoa CCM madarakani kla kukuondoa wewe na Shein ili tuweze kupata katiba mpya za NEC na ZEC mpya ili 2020 tuweze kuwa na uchaguzi wenye haki. Tumechoka uchaguzi ambao tunajua CCM ndio washindi!!! Tunataka chama kinachochaguliwa na watanzania walio wengi na sio chama kinachochaguliwa an NEC au ZEC. We are tiredddddddddddd!!!!!!
.
.
Huna hata heshima na jeshi letu, unalindwaje na jeshi la Rwanda kwenye ardhi ya Tanzania kama sio dharau kwa jeshi letu? Ikulu nzima imezingirwa na wanajeshi wa Rwanda. It’s a shame for this country. Jeshi la polisi umeingiza polisi wa Rwanda na itakuwa ndo hao wenye roho mbaya wanaofyatulia watu risasi. Polisi wetu hawakuwahi kufatilia risasi waandamaji huko nyuma... Pumbav. Mama Samia aendeshe nchi mpak
.
.
Umetuongezea umaskini, hakuna ajira, hakuna dawa, hakuna mikopo ya chuo, mabenki yanakufa, unatudai makodi mpaka tunapata presha. Watumishi umewatimua kwa Cherie feki, Unatuvunjia nyumba zetu bila fidia, walimu unawanyanyasa, , watumishi wa umma unawanyanyasa, is UmkaliaTumekuchokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Bujibuji Haiwezekani mkuu mange kutumiwa na serikali,

Sidhani kama kuna mtu anaweza kuvumilia kutukanwa matusi ya Nguoni tena ya mama kisa tu amtumie tena kwa mtu kama prezdaaa

Haya ndiyo aliyosema leo:

Back
Top Bottom