Sitashangaa, politics its a dirty game [emoji1]Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Huu ss ukorofi [emoji30]Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa Miss Natafuta ni dume?[emoji30][emoji30][emoji30]
.
Mpumbavu amesoma na akafahulu ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu ss ukorofi [emoji30]
mkuu Miss Natafuta ni wa kike na jina lake halisi liliwekwa nahisi ni Joyce sijui nani Numbisa kule kwenye Uzi wa duniani kuna vituko pia niliona kaweka screen shot ya hio comments yenye jina na miss natafutaHivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa Miss Natafuta ni dume?[emoji30][emoji30][emoji30]
Jamani liacheni goma langumkuu Miss Natafuta ni wa kike na jina lake halisi liliwekwa nahisi ni Joyce sijui nani Numbisa kule kwenye Uzi wa duniani kuna vituko pia niliona kaweka screen shot ya hio comments yenye jina na miss natafuta
Inawezekana Sana ila Akiri yangu inakataaHivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Nimekupa like sababu nimependa mwendelezo wa stori ila nimetoka kapa. Nini maana ya mpumbavu tafadhari? Kwa uelewa wangu mdogo, mjinga ni yule asiyeelewa mambo yanayomzunguka na hawezi kuyafuatilia mfano kama hawezi kusoma na kuandika na kuhesabu???? Mpumbavu je?Tulianza kuwa wajinga pale tulipoanza kwenda shule, kwa sababu elimu inayobadirika kutokana na mihtusari ni jambo lisilo afya kwa mwanao, mwanangu alipojua kusoma nikaanza kumpa vitabu vya historia na fasihi aelewe dunia na watu pia mahitaji yao, nadhan Kim jong aliniiga mm kwa mwanaye yule wa miaka Tisa ambaye n general jeshini.
Nchi hii inawapumbavu wengi kuliko wajinga na ndio maana mshana Leo anaogopa pamoja na bujibuji.
Wajinga sio shida kwan wakijua kusoma watanyooka
Wapumbavu hawajielewi na hawajui kuwa ni wajinga wala werevu.
Mpumbavu amesoma na akafahulu ujinga.
Mpumbavu ni makini na ndio maana wanaishi vizur.
Wapumbavu waovu kwa kuwa dhamiri haisemi tena.
Wapumbavu ni wabaya.
Ni hero mjinga mwenye busara kuliko mpumbavu mwenye hekima.
Nazania kuwa itakua ni baada ya Bashite kumaliza muda wake wa uungu.Unavuta picha gani unaposikia kwenye magazeti redioni asubuhi wakisema kuwa "Mange Kimambi"anashuka asubuhi hii kutoka USA.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani liacheni goma langu