mhn! kama kuna kaukweli hivi?Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Divide and rulemhn! kama kuna kaukweli hivi?
mbaya zaidi watu washajiachia kwa kuropoka kila kitu sasa wakipata kibano wanashangaaDivide and rule
Anaichukia ccm hatari kama ndivyo basi asingemtukana mkulu matusi ya nguoniHivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Sio kwa ukwel ule na mipovu ileHivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa Miss Natafuta ni dume?[emoji30][emoji30][emoji30]Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Tulianza kuwa wajinga pale tulipoanza kwenda shule, kwa sababu elimu inayobadirika kutokana na mihtusari ni jambo lisilo afya kwa mwanao, mwanangu alipojua kusoma nikaanza kumpa vitabu vya historia na fasihi aelewe dunia na watu pia mahitaji yao, nadhan Kim jong aliniiga mm kwa mwanaye yule wa miaka Tisa ambaye n general jeshini.Anaichukia ccm hatari kama ndivyo basi asingemtukana mkulu matusi ya nguoni
Je siku ikigundulika mods ni makada Wa ngaz za juu Wa kile chama kikuu mtafanyaje kwamfano?Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa Miss Natafuta ni dume?[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Je siku ikigundulika mods ni makada Wa ngaz za juu Wa kile chama kikuu mtafanyaje kwamfano?
Rudi hapa mkuu tuendelee kuwaza kwa sauti[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Never on earthHivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?