Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Acha ushetani. Unajua maana ya kukupumbaza?Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Acha ushetani. Unajua maana ya kukupumbaza?Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Unadhani hayo matusi yatawafanya ukawa mshinde uchaguzi 2020?Anaichukia ccm hatari kama ndivyo basi asingemtukana mkulu matusi ya nguoni
mshana umempeleka wapi best wako wa zamani miss ChaggaJamani liacheni goma langu
Ushetani inao CCM Na watu wakeAcha ushetani. Unajua maana ya kukupumbaza?
Confuse and make it clear!Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
Kauli nzito hii. Acha niendelee kuitafakari huku nikishushia na Ulanzi taratibuuuuu.Hivi itakuwaje siku ikigundulika kuwa MangeKimambi anatumiwa Na serikali kutupumbaza?
hao jamaa hawashindwi chochote. kama waliwea kuinunua cdm kupitia el watashindwa nini?Anaichukia ccm hatari kama ndivyo basi asingemtukana mkulu matusi ya nguoni
Kile kitendo tu cha kumpiga jiwe tayari ilikuwa ni tatizo kwakuwa alikuwa hana shida nawe japo bundi hutumika sana kwa mambo ya kishirikina.. Sasa hapo uliyempiga sio bundi bali alikuwa binadamu kwenye mishe zakeKaka mshana nahitaji jibu lako siku moja nimetoka zangu shambani kitambo kidogo nikamkuta huyo ndege juu ya mti fulan alikuwa ananiangalia basi mi sikupenda nikaokota jiwe na kumrushia akakimbia ...aisee siku ziliyofuata nilianza kuumwa sana tu mpaka kupelekwa hospital.. enzi hzo nko sumbawanga.. Je kuna uhusiano gani kati ya huyu ndege na binadmu...!!!
Kwa kazi maalumu anaweza akajivisha gwanda lolote lile, lifae uhusika.Anaichukia ccm hatari kama ndivyo basi asingemtukana mkulu matusi ya nguoni
Daaah aiseee sawa nimekuelewa jr.Kile kitendo tu cha kumpiga jiwe tayari ilikuwa ni tatizo kwakuwa alikuwa hana shida nawe japo bundi hutumika sana kwa mambo ya kishirikina.. Sasa hapo uliyempiga sio bundi bali alikuwa binadamu kwenye mishe zake