Mbona sikunyingi tu watu wanapigwa? Enzi hizo kakobe ndio alikuwa habari ya mujini.Aliwaambia waumini wakalete mikufu,dhahabu,almasi na vingine vya thamani ili wagawiwe maskini! Mh! Akawa tajiri yeye mwenyewe. Akatangaza watu wauze Mali zao na kuwapa maskini kwa vile mwaka2000 ndio mwisho wa dunia. Yaani ni vituuuko. Acheni waliwao waendelee kuliwa kwa vile akili wanazo ila kuzitumia hawataki. sikuhizi mtu akiona maisha ni magumu na hana kazi anakuwa Mchungaji utawaona mitaani na maspika au kwenye mabasi. Yaani ni balaa tupu.Kwa wale wasioamini hebu tafuteni movie ya Kanumba devils kingdom huwenda mkajifunza kitu. Makanisani Siku hizi niusanii mtupu.
Good morning all.....sasa before we proceed naomba msome habari ya Nabii wa Uongo alieitwa Simon the Sorcerer; kwa Umakini kabisa someni Matendo ya Mitume 8 : 9- 25 kwa Biblia za kiingereza Act of Apostles 8:9-25 . Hawa watu wapo tangu enzi za kina Mtume Paulo na ndio maana tunaambiowa tujifunze kuzijaribu Roho "Wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana Roho wa Mungu, bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na Roho wa Mungu au la, Maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni (1 Yohana 4: 1). Good day...nitarudi jioni kama bado mtakua na hoja za kueleweka!!!
Umenikumbusha mchungaji mmoja mwaka 2010 alikuja kwa mzee Wangu apate dawa za mvuto na kuwa na nguvu ktk kanisa lake tena alikuja na wanasiasa 2 ni maalufu sana hapa mjini basi mzee wangu akawambia kazi zao zote zinafanyika usiku maeneo ya makabulini kunduchi ilipofika usiku wa saa sita tukaenda wote nikiwemo na Mimi mwenyewe..
Basi kufika makaburini ikanyunyizwa dawa kwenye makaburi 2 ya dini yake yakasemwa maneno flani pale ya lugha maalum. Mara yakafunguka ukatoka moto mkubwa sana ukiambatana na radi nusra jamaa wakimbie, basi tukaona watu wanatoka mle na kuuliza kwa lugha ileile aliyoongea mzee wangu, akawatajia Shida za wale jamaa wote watatu wakaambiwa wavue nguo pale pale wasogee, basi wakafanya kama walivyoelekezwa na wale watu wakaanza na yule mchungaji kwa nguvu alizokuwa anataka akapewa ila kwa makubaliano maalumu, na wale wengine ambao mmoja ni mbunge maarufu wa upinzani na mwingine sasa ni waziri wakafanyiwa vile walivyoomba, kazi ikawa imekwisha.
Mchungaji ana kanisa bagamoyo road linajaza huwa nawaonea huluma waumini mana wanaabudu wasichokijua na nikikutana nae nikumtania mana najua nguvu sio ya mungu yeye huniambia namshukulu malehemu mzee wako nisingekuwa tajiri kama sio yeye
Hilo la misukule naunga mkono ila la mapepo hata wewe ukiwa nayo nenda utaanguka bila kusukumwa.

Unajua ndani ya makanisa kuna vitu vingi vinafanyika watu huwa hawavijui ila nitawapa sili moja mana kila unayemwona anajiita nabii ana maagano ameyafanya mfano kuna mmoja alipewa shariti la waumini wake wavae nguo zenye rangi moja na wengine wanachale kwenye moyo ni mengi tu yanafanyika ikiwemo kuweka hilizi ya simba wanapokuawepo kama kuna mchungaji au mwanasiasa akiliona jina langu hapo juu atakuwa anajua mi ninaengoea ni nani au ni mtoto wa nani lakini ni ulaji wao na sie wenye hizo kazi ila hakuna nabii atakaye kwenda peponi hata mmoja kati ya mnaowaona
Ni ngumu sana kuwataja mana nitahalibu ulaji wao na Wang pia kinachotakiwa ni kujua kuna makanisa kwenye sehemu za milango kumewekwa mboo za maiti na kila muumini anayepita hapo lazima apitiwe pasipo kujua
Kwa hivyo weye wadhani kuwa kwa maneno yako hayo unategemea watu flan waje kwako weye kuwa uliachiwa kibuyu?? Pole sana, si hukumu ila huyo aliyewapa hiyo dawa naamini aliingia humo humo mwenye kaburi lenu na anaungua hadi kieleweke.
Unathubutu kuja humu jf na kujitapa ati ulienda kushuhudia Mchungaji wa Bwana akipewa uchawi. Weye na yeye unajua mwisho wenu ni wapi?? Lile ziwa liwakalo moto na kibiriti milele. Pole sana. Najua utasema nimekuhukumu ila hapana, Neno la Mungu ndo limekuhukumu. Umeshiriki kuwapoteza wengi.
Wewe mtani wangu acha tu,
Wapo watu hata leo hii wanaamini kuwa wakienda
kwa gwajima mfu wao atafufuka.
Hata wasomi wazuri wa Biblia usishangae unapoambiwa
kuwa wakifiwa wanapeleka maiti huko ili ikafufuliwe,
cha ajabu ni kwamba wanarudi na mfu wao.
Hili la mapepo, hawa wahubiri huwa wanatumia mbinu moja
anapokuwekea mikono anakupush nyuma kiasi kama hauna
balance ni lazima utaanguka tu.
Na ndiyo maana akina mama wengi ndio wanaanguka
si hatuna nguvu sana.
Ni ngumu sana kuwataja mana nitahalibu ulaji wao na Wang pia kinachotakiwa ni kujua kuna makanisa kwenye sehemu za milango kumewekwa mboo za maiti na kila muumini anayepita hapo lazima apitiwe pasipo kujua
Dah bora umenisaidia simakoku mana kuna mwingine kaja pm kunishambulia na kunitisha ila mi nachomwambia mi siogopi kufa mana nishapptea ndani ya mto mgandazi pale kasulu zaidi ya mwezi hivyo mtu Mjinga hawezi nitisha Maisha yangu kama anaona yeye ana nguvu za kushindana na mimi mwezi wa sita nitakuwa dar aje na mchungaji yeyote anayeona anamiujiza kwangu halafu tushindane ndio atajua watu wake wanatumia nguvu ya mungu au shetani na pili mi sina dhiki nimewasaidia watu wengi wanaendesha ma range unafikili mi nikoje
Hao wanaokushambulia watakuwa ndio haohao wanaojiita watumishi wa Mungu lakini kumbe wanatumia nguvu za giza, kama ingekuwa haijawagusa wangekaa kimya.