Bornvilla
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 924
- 272
Mbona sikunyingi tu watu wanapigwa? Enzi hizo kakobe ndio alikuwa habari ya mujini.Aliwaambia waumini wakalete mikufu,dhahabu,almasi na vingine vya thamani ili wagawiwe maskini! Mh! Akawa tajiri yeye mwenyewe. Akatangaza watu wauze Mali zao na kuwapa maskini kwa vile mwaka2000 ndio mwisho wa dunia. Yaani ni vituuuko. Acheni waliwao waendelee kuliwa kwa vile akili wanazo ila kuzitumia hawataki. sikuhizi mtu akiona maisha ni magumu na hana kazi anakuwa Mchungaji utawaona mitaani na maspika au kwenye mabasi. Yaani ni balaa tupu.Kwa wale wasioamini hebu tafuteni movie ya Kanumba devils kingdom huwenda mkajifunza kitu. Makanisani Siku hizi niusanii mtupu.