bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,374
- 3,972
Wewe mtani wangu acha tu,
Wapo watu hata leo hii wanaamini kuwa wakienda
kwa gwajima mfu wao atafufuka.
Hata wasomi wazuri wa Biblia usishangae unapoambiwa
kuwa wakifiwa wanapeleka maiti huko ili ikafufuliwe,
cha ajabu ni kwamba wanarudi na mfu wao.
Hili la mapepo, hawa wahubiri huwa wanatumia mbinu moja
anapokuwekea mikono anakupush nyuma kiasi kama hauna
balance ni lazima utaanguka tu.
Na ndiyo maana akina mama wengi ndio wanaanguka
si hatuna nguvu sana.
Hilo la misukule naunga mkono ila la mapepo hata wewe ukiwa nayo nenda utaanguka bila kusukumwa.