Yahusu wafufuao wafu na misukule

Yahusu wafufuao wafu na misukule

Wewe kama hiwaamini mitume na manabii ni uamuzi wako, lakini maandiko ya Biblia yanaonesha watakuepo mpaka Yesu arudi, swala la kufufua wafu na kurudisha misukule unayo haki ya kutoamini lakini biblia inasema kufufua wafu ni moja ya ilani ya Yesu, hivyo anapotokea anayeamini anaitekeleza, hivyo mimi sioni ajabu mtu kufufua wafu si kwa sababu ya miujiza yenyewe bali kwa kuwa ahadi hiyo ilishatolewa miaka 2000 iliyopita

Ukiacha Yesu Kristo ni nani tena alishafufua hata mfu mmoja tuu...at least kwa hapa Tanzania??? Josephat alidanganya watu kuwa angemfufua AC watu wakafurika kwa siku tano nzima akapiga bingo ya sadaka za kufa mtu na mwishowe hakumfufua
Unabii upo na manabii wapo lakini hawavai suti za bei ghali na kuishi maisha ya kifahari kwa sadaka za maskini
 
Asante kwa kusadiki katika Utatu Mtakatifu. Mungu Baba Mungu Mwana Mungu Roho Mtakatifu. Mungu akubariki. Kila ulumi utamkiri Bwana...[/QUOTE linguistics

'Yeye ndiye wa Mwanzo na wa Mwisho (Alpha na Omega) naye ndiye wa Dhahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu !
Qur'an: 57:3.
 
Last edited by a moderator:
Kila ulimi utawakiri mabwana...maana wako watatu!!!!

Hujasikia wanataka kumfufua Balali? Ilikuwa moja ya ahadi za mgombea mmoja pale Jangwani ambaye ana uhusiano wa karibu na Gwajima.
 
Wamedai kuwa watamfufua Balali, moja ya vipaumbele vya mgombea mmoja wa urais alivyojinadi navyo katika uzinduzi wa kampeni.
Ukweli kuhusu Balali ni upi? Kuna siku hili swali litajirudia tena na tena mpaka majibu yapatikane
 
Back
Top Bottom