Yahusu wafufuao wafu na misukule

Yahusu wafufuao wafu na misukule

Kwanza mi simwiti mtu aje kwangu mana kazi yao unaweza kupoteza Maisha lakini kwa kuwa wao wanahitaji Maisha bora na kujulikana kuwa watumishi wa mungu huwa naifanya na wote bahati nzuri wamefata masharti na Maisha yanakwenda na hata mwaka huu kuna kanisa linafunguliwa na litabeba waumini wengi tu wilaya kinondoni subili maajabu ya huyo mchungaji wao sasa
 
Mimi seriously kwa moyo mmoja napenda kabisa kujifunza haya mambo kwa manufaa ya kupata elimu na sivinginevyo
 
Hapa naona jini lililojaa udhehebu na mapokeo na jini lisiloamini mambo ya rohoni yakijenga hoja.Mambo ya rohoni kuyatafsiri katika ulimwengu wa mwilini inahitajika umakini na kuongozwa na Roho Mtakatifu.
 
Sasa mbona 'mengine' unabagua na hutaki yaandikwe !?
Ally Kombo unataka unipangie hata nguo ya kuvaa na chakula? Na kipi nisichotaka kiqndikwe? After all mimi sio mod! Nimejifunza uchawi na ushirikina kwa miaka mingi tu lakini sijawahi kudhuru mtu na hapa nataka niongeze ujuzi
Ninachopingana na wengi akiwemo wewe Ally Kombo ni kashfa kwa imani za wengine
 
Last edited by a moderator:
usipate taabu na huyu fallen angel nenda jamii intelligence tazama uzi wa astral projection getting out of the body halaf soma posts zake zote unganisha dots........
The thread you are referring to is frivolous.
 
Subiri na wewe ukifa utafufuliwa
Acheni mambo ya ajabu bhana
Cha msingi hapa ni kujiandaa maana hatujui siku wala saa tutakapotoka hapa duniani
Mambo ya kufufuka not in this life time jombaa
Halafu pia tatizo lingine watu wanaitafsiiri biblia kama uwazi nipashe kiu ya jibu ndo mana tunachanganyikiwa biblia inahitaji utulivu
How will you be able to do that since you are denying the Omnipotence of Holy Spirit?
 
Kwani Biblia ni Kitabu cha Nabii/Mtume nani !?
Maana Injil ni ya Yesu, Tourat ya Musa, Zaburi ya Daudi, Suufi cha Ibrahim, Wimbo bora cha Suleiman, na Qur'an cha Muhammad
Kwahiyo Quran ni Kitabu cha nabii/mtume na sio Mungu. You are very smart young muhammadan.
 
Kwahiyo ulikuwa unanichallange ili iweje sasa! Naamini ni muumini mzuri wa kufuatilia vipindi vya dini redioni vya hawa manabii na mitume yale wayafanyayo ndio Yesu aliyafanya? Kuomba sadaka/michango/ misaada kupitia nambari binafsi na akaunti binafsi? Kuwapiga vijembe wenzao? Kuongea mipasho?
FYI: The body of your thread is still FRIVOLOUS and unmeritorious.

Labda kama hufuatilii nafikiri ungepata picha tofauti inawezekana kabisa unapinga usichokijua, nimekwambia zaidi ya mara tatu kwamba sipingani na Neno la Mungu bali mafundisho na matendo ya hawa jamaa
I know what I argue, it is you who accuses people without evidence. Still you did not give me evidence.

Tuna madhehebu ya Kikatoliki Kilutheri Kipentekoste nk tuna wahubiri wazuri tu wanaotenda miujiza na kuponya watu nk hawajitangazi kwenye vyombo vya habari
That is fine and doesn't change anything. This is 2015 and it is not unbiblical to say Jesus heals on the TV.

Sadaka zetu zina utaratibu, zinatangazwa na kila senti tunaambiwa inaenda wapi na kufanya nini, jamii inahudumiwa kwa kiasi kikubwa mno na makanisa haya na bado watumishi wake hawajikwezi hawaweki mabango makubwamakubwa yenye picha zao kujitangaza
This is proof that you have issues with the body of Christ. It seems you don't even know why are you a Christian. People like you are the ones calling Christianity a religion.

Nimekuuliza habari za mitume na manabii waliotabiriwa kwenye Bible umekaa kimya! Hata wao kwenye mahubiri yao huwa wanapotezea hivi vifungu
What do you want to know about them?
What dispensation are you talking about?
 
FYI: The body of your thread is still FRIVOLOUS and unmeritorious.

I know what I argue, it is you who accuses people without evidence. Still you did not give me evidence.

That is fine and doesn't change anything. This is 2015 and it is not unbiblical to say Jesus heals on the TV.

This is proof that you have issues with the body of Christ. It seems you don't even know why are you a Christian. People like you are the ones calling Christianity a religion.

What do you want to know about them?
What dispensation are you talking about?

Sometimes silence is the best answer..!
 
Bado nashindwa kuelewa kwanini unapingana nami! Kwanza sijabadili heading bali nilikusahihisha wewe , pili sipingani na Bible bali napingana na mafundisho ya watu wanaoojiita manabii na mitume wa siku hizi jaribu kuelewa ninachoongelea

Achana naye huyo.pengine ni mmoja wao.maana hiyo hiyo bible imesema pia watakuja manabii wa uwongo na kufanya miukiza.! Yeye kashupalia hapo hapo au ndo gwajima huyo.?
 
Achana naye huyo.pengine ni mmoja wao.maana hiyo hiyo bible imesema pia watakuja manabii wa uwongo na kufanya miukiza.! Yeye kashupalia hapo hapo au ndo gwajima huyo.?

Nilichokuwa naona ni marudio ya aya zile zile na marudio ya misamiati ya kizungu na ubishi usio na shingo wala kiuno
 
Hivi inakuaje mtu unapaaaanic na kujibu kwa hasira kwenye mada ambayo ina ukweli mkubwa na mifano ndani yake kama hii,IKIWA NAWEWE SII MMOJAWAPO WA HAO MANABII WA UONGO?
 
Ally Kombo unataka unipangie hata nguo ya kuvaa na chakula? Na kipi nisichotaka kiqndikwe? After all mimi sio mod! Nimejifunza uchawi na ushirikina kwa miaka mingi tu lakini sijawahi kudhuru mtu na hapa nataka niongeze ujuzi
Ninachopingana na wengi akiwemo wewe Ally Kombo ni kashfa kwa imani za wengine

....Usilazimishe mambo wewe ndugu !........hakuna kashfa yeyote niliyoandika humu !.....wewe unakwepa hoja na tiba ya shida yako. Umegundua imani yako ina kasoro, ila unaogopa ushauri m'badala !
 
Back
Top Bottom