Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Ndugu yangu hata sijatunga hii stori i kweli, utunzi nitauwezea wapi, niko desperate namsubiria Yahaya, ikitokea akaja lunch na kuni surprise ntafurahijeee na hapo ntamwambia walau aniambie wapi anaishi na kufanyia kazi anioneshe kabisa siku ingine nisipate shida hivi.................
Usigombane na mie sikudanganyi huu ni ukweli, Hubby yupo na nafasi yake haiwezi kuchukuliwa na Yahaya sijamkimbia bado niko kwangu ila hii ni moja ya hobby ambayo inanifanya nikiwa home nakuwa stress free ila Yahaya is just a friend he is nothing more but he is sweet and generous. Mazoea yanatabu ndo maana namuwaza hivi alinizoesha vibaya sana ni hivyo tuu

Mkunde, huyo yahaya asije chujua nafasi ya hubby manake u miss him already n that's not a good sign, he's sweet and generous . He's slowly taking hubby's place and in no time you'll realize when he has done the impossible!

Tafuta hobby inayomhusisha hubby wako, kina yahaya wanaanza na ma care... siku akiivua naniliu utashangaa ilikuwaje.
 
Mkunde Original ina maana siku zote hizo huna namba ya simu ya Yahaya?

Namba ninayo ila haipatikani na nimejaribu kumtumia hela kwa tigo pesa ili nipate jina lake limeandika jina moja tuu la yahaya inamaana alisajili kwa jina la Yahaya tuu nilizubazwa na care yake yaani.........
 
Mke wake kajifungua juzi analea mtoto...

Kulea sikatai alee ila hata simu haipatikani kwanini si aniambie tuu nalea na partenity ikiisha walau tupate lunch yaani leo hata hamu ya kula sina Yahayaaaaaaa .............................. uko wapi Yahaya jamaniiiiiiiii
 
Hahah...nitakutumiaje muvi rafiki?

Btw niliiangalia tu muv theatre miaka kadhaa iliyopita...

Jamani kidigitali au ndo mambo ya copy right? poa wacha nijibembeleze maana muvi sijaipata Yahaya nae hapatikani tabu tupu mie naona
 
Bujibuji=Yahaya,
nipo kwa ajili yako, nilienda vijijini kukimbiza mwenge, huko hamna network, na kila mti mrefu una mwenyewe, na ili uongee na simu, ni lazima ukwee, na mie ukwezi siujui.
Leo saa sita tukutane Ocean Road kwenye madafu yetu

Kama kweli ni wewe nipigie nihakiki maana mambo ya kwenda kubung'aa halafu kule ni baharini naweza jitosa wakati sijui kuogelea, nitumie message ingia whats up kisha nipe ile signal zetu za mawasiliano then ntajua kama ni wewe. Am waiting hapa nshaanza kutabasamu if its u ila ungeniambia kama unasafiri................
 
Wee Yahaya njoo huku haraka sana. Acha kutesa moyo wa mwenzio kiasi hiki. Ni aje wewe!?

Last edited by a moderator:
Mkunde, huyo yahaya asije chujua nafasi ya hubby manake u miss him already n that's not a good sign, he's sweet and generous . He's slowly taking hubby's place and in no time you'll realize when he has done the impossible!

Tafuta hobby inayomhusisha hubby wako, kina yahaya wanaanza na ma care... siku akiivua naniliu utashangaa ilikuwaje.

Thanks for alerting me kiukweli alinizoesha vibaya sana daah ni muda mfupi ila............. pamoja na yote hubby wangu mie nampenda na namuheshimu nasali sana nisijefanya maruweruwe, kama hali inazidi kuwa tete basi ntatafuta hobby ingine ili Yahaya asije niharibia ila walau nipate nafasi ya mwisho kula nae madafu tuu pale agakhan yaani alinizoesha vitu flani flani vya kijinga ila daaah najiona kama niko jela hivi alivonikaushia.............
 
Wee Yahaya njoo huku haraka sana. Acha kutesa moyo wa mwenzio kiasi hiki. Ni aje wewe!?

BAK again thanks friend yaani umenipa moyo na napata release kunisaidia kumuita Yahaya hata sijui ni nini kimempata maana ijumaa tuliagana vizuri tuu..........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
weka namba zako basi ili nkutaarfu kwa urahs maana nshaanza kumtafuta
 
Namba ninayo ila haipatikani na nimejaribu kumtumia hela kwa tigo pesa ili nipate jina lake plimeandika jina moja tuu la yahaya inamaana alisajili kwa jina la Yahaya tuu nilizubazwa na care yake yaani.........

Aisee.mpaka hapo hukujiuliza?no wapi wanakubali kusajili no kwa jina Moja mama a?take it from me and keep my words yahaya is typically a cornman
 
Kama kweli ni wewe nipigie nihakiki maana mambo ya kwenda kubung'aa halafu kule ni baharini naweza jitosa wakati sijui kuogelea, nitumie message ingia whats up kisha nipe ile signal zetu za mawasiliano then ntajua kama ni wewe. Am waiting hapa nshaanza kutabasamu if its u ila ungeniambia kama unasafiri................
nilikwambia !
MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLEPOLE!
yakizidi muone daktari!
CC Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Thanks for alerting me kiukweli alinizoesha vibaya sana daah ni muda mfupi ila............. pamoja na yote hubby wangu mie nampenda na namuheshimu nasali sana nisijefanya maruweruwe, kama hali inazidi kuwa tete basi ntatafuta hobby ingine ili Yahaya asije niharibia ila walau nipate nafasi ya mwisho kula nae madafu tuu pale agakhan yaani alinizoesha vitu flani flani vya kijinga ila daaah najiona kama niko jela hivi alivonikaushia.............
The Boss siku nyingine ukitoa dozi zako uwe unaangalia na hali ya mgonjwa,
kama ameshawahi kupata tiba mbadala,k
ama ameshakunywa dawa yoyote ya kutuliza maumivu au
kama ana magonjwa mengine zaid ya huo anaokuletea!
ona sasa huku hobby imekuwa hobby!watu hakuliki hakulaliki hobby yahaya hapatikani na ndo ishakuwa kesi tena!
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli ni wewe nipigie nihakiki maana mambo ya kwenda kubung'aa halafu kule ni baharini naweza jitosa wakati sijui kuogelea, nitumie message ingia whats up kisha nipe ile signal zetu za mawasiliano then ntajua kama ni wewe.Am waiting hapa nshaanza kutabasamu if its u ila ungeniambia kama unasafiri................

Mmmmmm!!!!
 
Mtani kumbe nawe umeona hiyo eenh......hebu na mimi nitumie meseji kama hiyo

kwani na we kuna sehemu una signals za mawasiliano
aahahahhahhahahahhaha amenifanya nicheke sana kwa hako kamstar
we mtani unatumia signs zipi kati ya hiz,
?,fire,ketchup,ahahahhahhaa mahalat yana mambo mwe!
 
Yote haya kasababisha Yahaya bora hata nisingekuzoea ona sasa watu wananielewa vibaya he is just a friend jamani nothing more my hubby covers everthing only hobby ndo Yahaya. Yaani bora hata huyo Yahaya asijitokeze maana akitokea itabidi nimwambie aje ajieleze hapa kuwa we are just friends and nothing more.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom