Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Mkunde Original

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
807
Reaction score
647
Habari zenu tena wooteee mnaosoma uzi huu,

Ilikuwa ijumaa hii iliyoisha, Yahaya kama kawaida alikuja mida ya lunch tukapata chakula cha mchana pale city retaurant kisha nikarudi endelea na kazi. Yhaya huyu amekuwa mkarimu mnoo na mcheshi na amekuwa akinijulia hali kila leo tangu asubuhi hata saa ya kulala. Yahaya amekuwa akinipeleka fukwe za bahari kupunga upepo pale agakhana na tunakula wote madafu kisha ananirudisha nyumbani pasi giza kuingia.
Sasa jumamosi hii Yahaya sikumuona wala jumapili hii kwani pia tangu nifahamia na Yahaya amekuwa akifika hata kanisani ninakosali na huwa tunasabahiana baada ya ibada kisha kila mtu na njia yake, ila jumapili hii Yahaya hakuwepo kanisani nikasubiri na ibada ya pili labda atatokea hadi mwisho wa ibada sikumpata. Yahaya hapatikani kwenye simu ya kiganjani wala mtandaoni, kote naambiwa message not delivered.
Sasa nawaza Yahaya atakuja kesho ofisini, sijui atanipigia kunieleza lipi lilimpata, najiuliza hivi maana muda wote nimefahamiana na Yahaya sijui anaishi wapi wala anafanya shuhuli gani, marafiki zake siwajui wala sijui nitampataje ..............
Yahaya kanizoesha vibaya na sasa napata tabu, Yahaya unaishi wapi nije nikusabahi labda umegonjweka walau nikuletee panadol. Yahaya huyu nilikutana nae kwenye foleni ya kuchukua road license ofisi za TRA samora miezi kadhaa nyuma mwaka huu. Natamani kesho niende TRA niulizie road license zote zenye jina la Yahaya cha kushangaza hata u bin wake siujui, yaani sijui anaitwa Yahaya nani msinicheke jamani nisaidieni kumtafuta Yahaya.
Nimekuja huku maana katika maongezi yetu wlau siku moja alinitajia kuwa ni memba wa JF ila hakunitajia ID yake hivyo sijui Yahaya anatumia ID gani JF .........................
Yahaya unaishi wapi??? ntakupataje mie Mkunde. looh!!!
Sitaki kujuta kukufahamu maana nina matumaini kuwa utanitafuta kesho, usiku mwema Yahaya.
 
hivi wewe mkunde unajijua kuwa mapenzi yamekuchanganya akili?jiuzulu mama mapenzi yatakuua.na ngoja umpe tunda yahaya akila ndio utajua hata hilo jina yahaya sio jina lake halisi.utamtafuta duniani na ahera na kote usimkute
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa! HOW SWEET OF HIM!!!!!!!!!! Nimejikuta namsoma Yahaya, how is generous and sweet! It has always been about you and never about him and he was happy still! SAD! SAD! SAD!

Yahaya seems like sweet boy except you took advantage of him!
 
Mkunde Original uniambie hii stori umetunga, laa hasha tutagombana. Mume wako yuko wapi, au ndo ushamkimbia? Au Yahaya ni rafiki tu? Lakini huyu rafiki ambaye unamuwaza hiviii....
 
Last edited by a moderator:
Yahaya anatumia absence method ili kuongeza thamani yake kwako. very smart Yahaya..... Na akirejea lazima apewe tunda kwa jinsi ulivyommiss.....
 

ahahahhahahhahahhahahhaha hii cc kwa ajili ya
ANGALIZO
KUMBUSHO
TAARIFA
HADIDU ZA REJEA
AU BASI TU FUJO!
kheee bora umerudi shosti mi mekumithi kidoog nitoke na mimi na hiz swager!
UMEKUWA YAHAYA konnie!
ulinizoesha vibaya mimi!
hebu do ze needful!
 
hivi wewe mkunde unajijua kuwa mapenzi yamekuchanganya akili?jiuzulu mama mapenzi yatakuua.na ngoja umpe tunda yahaya akila ndio utajua hata hilo jina yahaya sio jina lake halisi.utamtafuta duniani na ahera na kote usimkute

Kweli nakubali mapenzi yamenichanganya akili aiseee hadi sasa Yahaya bwiiiii hajanipigia na wala simu yake haipatikani...
Hapana Yahaya is not for tunda, he is there for caring and cheering...............
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa! HOW SWEET OF HIM!!!!!!!!!! Nimejikuta namsoma Yahaya, how is generous and sweet! It has always been about you and never about him and he was happy still! SAD! SAD! SAD!

Yahaya seems like sweet boy except you took advantage of him!

Ulijuaje? Yahaya is a sweet man, he cares hadi basii hadi sasa sijampata Yahaya, hapatikani kwenye simu na hajanipigia, hata sijui nianzie wapii kumtafuta, natumai akiingia humu atasoma hii message na kunitafuta, hopefully..........
 
Kawaulizie Man u, walikutananaye jana...!

hao man u wenyewe hata siwajui ntawapatawapi jamani nisaidie basi kumtafuta Yahaya walau nisikie sauti yake, jamani kwa atakayemuona Yahaya naomba aniarifu au amwambia Mkunde anamtafuta tafadhali
 
if this is serious then that man of urs akae chonjo!
naona ile boredom umeitafutia hobby sasa!
thanks to The Boss lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom