Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
- Thread starter
- #21
Mkunde Original uniambie hii stori umetunga, laa hasha tutagombana. Mume wako yuko wapi, au ndo ushamkimbia? Au Yahaya ni rafiki tu? Lakini huyu rafiki ambaye unamuwaza hiviii....
Ndugu yangu hata sijatunga hii stori i kweli, utunzi nitauwezea wapi, niko desperate namsubiria Yahaya, ikitokea akaja lunch na kuni surprise ntafurahijeee na hapo ntamwambia walau aniambie wapi anaishi na kufanyia kazi anioneshe kabisa siku ingine nisipate shida hivi.................
Usigombane na mie sikudanganyi huu ni ukweli, Hubby yupo na nafasi yake haiwezi kuchukuliwa na Yahaya sijamkimbia bado niko kwangu ila hii ni moja ya hobby ambayo inanifanya nikiwa home nakuwa stress free ila Yahaya is just a friend he is nothing more but he is sweet and generous. Mazoea yanatabu ndo maana namuwaza hivi alinizoesha vibaya sana ni hivyo tuu