Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Nadhani alikuwa kule Westgate. Ngoja kidogo flo.. experts wamalize kazi yao ila uwe na DNA yake kwani pale watatambulika kwa DNA tu.
 
what does that suppose to mean?

miiko ni kukatazwa au hairuhusiwi kufanya jambo flani, mfano naweza sema mimi kwetu ni mwiko mwanamke kuolewa na wapare au kwetu tuna mwiko/miiko ya mwanamke kula meza moja au sahani moja na mwanaume hata kama ni mkewe actualy ni taboos sijui kama sikuhizi watu wanazifuata.
 
hao man u wenyewe hata siwajui ntawapatawapi jamani nisaidie basi kumtafuta Yahaya walau nisikie sauti yake, jamani kwa atakayemuona Yahaya naomba aniarifu au amwambia Mkunde anamtafuta tafadhali

Kamuulize lemutuz le baharia!
 
Mkunde Original kumbe tangu cku ile tulipo achana umekuwa ukinitafuta this much, am here bby.sory for my silence.now
check me via my voda#.hope hujaifuta.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom