Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Moyo ukishaibiwa ndio umeshaibiwa hivyo.

Yote haya kasababisha Yahaya bora hata nisingekuzoea ona sasa watu wananielewa vibaya he is just a friend jamani nothing more my hubby covers everthing only hobby ndo Yahaya. Yaani bora hata huyo Yahaya asijitokeze maana akitokea itabidi nimwambie aje ajieleze hapa kuwa we are just friends and nothing more.
 
Hapa najiuliza tu siku huyo Yahaya ndio kamtokezea mchuchu by surprise...

Aiseee atarukiwa mtu na mfululizo wa makiss na makumbatio ya slow mosheni...

train-station-wallpapers-10.jpg

ha ha ha hahahaaa watu8 umemaliza loooh hilo hug................ hapana sitamfanyia hivo Yahaya hiyo ni kwa hubby tuu
 
Last edited by a moderator:
Mtani mimi sitaki kumliza mchozi Mkunde Original....

We hebu muangalie tu namna alivyojiachia hapo, sasa hizo raha hazipo tena halafu wewe unataka tumkumbushe

hahahahaaaaaaa jamani nashukuru mnanipa faraja maana Yahaya hadi saa hizi bila bila.............. hadi uso leo hauna raha kabisaa
 


Never mind Yahaya I'll find some one like you, you have walked away from me but I won't be your friend anymore.
Thanks Adele for pampering me.............
Mkunde mie najibembeleza with Adele song.
 
Last edited by a moderator:
Is this hypothetical? I thought your married referring to one of your thread? au yahaya ni kidumu?
 
Mtambuzi hebu toa marks za utunzi hapo...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom