Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

inaanzaga hivyo hivyo!
I AM WARNING YOU!

nimeanza kuogopa wengi waasema kuwa Yahaya ni tapeli yaani hadi sasa simpati kwenye simu ila kama ni kweli ni tapeli basi urafiki wetu utaisha maana nitamchukia sana, am a bit warned ila naendelea kusubiri hadi jioni nikiona kimyaaa au labda kafaaa??? labda kapata ajali au anaumwaaa..................
 
nakwambia bachala CW haijatimia ye kashagraduate mastaz!
yani hapa najipanga namna ya kumwambia ahairishe research lakin nahisi ameshavaa (ah kashavua joho)yani kashatoka mlimani city sa hz anaenda kupiga picha za kuweka fesibuku kuwa now an MA holder!

on a veeery serious note!
I MISS YOU!

hahahaaaaa Yahaya was just a friend with no harm.
 
Sijakuelewa rafiki................. sijui ni kingereza au mawazo ya Yahaya kunizidia

Hahaha neither of the two...

Ni jina la muv moja hivi ya malavi davi kipindi cha outbreak ya cholera...

Ni stori ya mpenzi mmoja kumuacha mpenzi mwingine kwa sababu ya kuwekwa karantini...
 
Hahaha neither of the two...

Ni jina la muv moja hivi ya malavi davi kipindi cha outbreak ya cholera...

Ni stori ya mpenzi mmoja kumuacha mpenzi mwingine kwa sababu ya kuwekwa karantini...

naomba unitumie hiyo movie natamani kuiangalia may be ntamsahau Yahaya maana hadi sasa hapatikani.............
 
nimeanza kuogopa wengi waasema kuwa Yahaya ni tapeli yaani hadi sasa simpati kwenye simu ila kama ni kweli ni tapeli basi urafiki wetu utaisha maana nitamchukia sana, am a bit warned ila naendelea kusubiri hadi jioni nikiona kimyaaa au labda kafaaa??? labda kapata ajali au anaumwaaa..................
Bujibuji=Yahaya,
nipo kwa ajili yako, nilienda vijijini kukimbiza mwenge, huko hamna network, na kila mti mrefu una mwenyewe, na ili uongee na simu, ni lazima ukwee, na mie ukwezi siujui.
Leo saa sita tukutane Ocean Road kwenye madafu yetu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom