Yafuatayo hunitokea mara baada ya kunywa pombe

Hiyo Zappa huwa inapigwa kibiriti kabla ya kunywa nimekiona hapo safi,

Ila pia usinywee mshahara,kodi wala ada wala hela yoyote yenye malengo na wala usinywe kwa hela ya kukopa lazima uumwe second day
Hata kama nitakunywa pombe za sherehe(bwerere) hali ni hiyo hiyo mkuu.Kwa hiyo lazima pana jambo nyuma ya pazia.
 
Umeelewa chanzo cha masaibu yako. Sasa ni vema ukafanya maamuzi yenye manufaa kwako. Na una bahati. Kuna wenzio wakinywa hata kahawa tu ndipo hupatwa na yanayokupata.
 
Angalia isije kuwa unakunywa bila kuwa huru, au kwa kificho, ama unakunywa Kwa lengo tu la kuondoa mawazo Ilhali uchumi hauruhisu hata kidogo, ushauri kama unapiga masanga piga Kwa kiasi na pia piga masanga kama burudani, epuka kampani/makundi kwani itavuruga bajeti yako na uwezekano wa kuzidisha kiasi cha masanga.
 
Mi ilikua napiga pombe leo ikifika kesho naanza kulia machozi kabisa moyo unsuma nimemkosea Mungu wangu.

Yaliyokuja kunitokea ni hatari.!

Kikubwa ninachokumbuk nimeachana na pombe..!
 
Mi ilikua napiga pombe leo ikifika kesho naanza kulia machozi kabisa moyo unsuma nimemkosea Mungu wangu.

Yaliyokuja kunitokea ni hatari.!

Kikubwa ninachokumbuk nimeachana na pombe..!
hongera sana
 
Mi ilikua napiga pombe leo ikifika kesho naanza kulia machozi kabisa moyo unsuma nimemkosea Mungu wangu.

Yaliyokuja kunitokea ni hatari.!

Kikubwa ninachokumbuk nimeachana na pombe..!
ni kama mimi tu.
 
Back
Top Bottom